Ukitaka kutengwa na wasanii jiweke karibu na WCB

naanza kuamin kua, mchawi wa bongo ni mbongo mwenyew!
 
Sijui ni kwanini sisi watanzania wengi wetu ni wagumu kupeana sapoti za kuinuana kiuchumi.

Yaani mtu anaona ufahari kila siku kuitwa Boss Boss
 
Hahahahahaaaaa umewaaahi kuonesha kwamba wenye matatizo ni WASANII na siyo WCB acheni umaandaz WCB haswa kiongoz wao DIAMOND wanajifanya viburi wanajifanya wapo top unadhan kuna mtu atatka kuwanyenyekea mara zote mnamtetea diamond bt dogo mashauzi mengi mno na DIAMOND BAADA YA KUJULIKANA KIMATAIFA HASWA BAADA YA NUMBER OME REMIX NA DAVIDO ndo mambo yakabadilika yy mwenyewe anajiweka mbali na wenzake anataka u GOD FATHER tuuuupa kule then ALI KIBA ni msanii mkubwa ki umri kwenye industry hizo habari za kila siku kuulizwa maswali kuhusu uoande wa pili hata ningekuwa mm sijibu ni upuuzi na unavyoendelea kuwakatalia itafika kipind hawatauliza na suala litakuwa limeisha..waambie madogo waache kuvimba maana hawaelewani na wasanii wenzao,hawawlewani na media nyingi waahaingia mgogoro na basata WHO ARE THEY?..nan mwenye shida hapa??..mbna hao wasanii tofaut na WCB hawagomban na watu wengine,mbna hizo media tofaut na WCB hazigomban na makundi mengine?..mbona hao basata wasifungie matamasha mengine kwa mwaka jana hadi ikawe WASAFI FESTIVAL?..THEY HAVE TO CHANGE MZEE la sivyo mtaendelea kulalamika hadi YESU ANARUDI.
 
Hakuna vitu kama hizo, tatizo huenda huna access ya Wasafi tv au Radio we're killing this shit! Business.

Wasafi kuna watu kama 10 wametoka CMG wapo pale kuna watu wasiopungu 5 wametoka Times FM, wawili kutoka IPP na DJ'S wakufa mtu.

Kuna dj Y.OB, dj jacko, dj, chocolate, dj lucky, dj seven, na wengine kama sita hivi damn hii biashara iko Wasafi sasa japo huwezi linganisha na Clouds fm inayopagika nchi nzima
 
Wakati huo huo kuna wachawi wa bongo wanakwambia siku hizi Diamond ameshuka sana.

yaani utafikiri kushuka kwa msanii wa bongo kunamletea mtu ugali nyumbani kwake.

Badala ya kuhakikisha tunawapa support wasanii wetu bila kuangalia sura tumebaki kufuata mikumbo.

Msanii anayependwa na media fulani basi watu wote mnalazimishwa mumuone mzuri.
 
Umeuliza maswali ya kijinga sana ambayo una majibu yake hakuna wakukujibu.

WCB ni Music label kubwa Tanzania, Afrika mashariki na kati yenyewe ndio top.
Na kukuonyesha unyama wana media ambayo inazidi kuwakuza vibaya sana.
Wakati wa Eid hapa ulishuhudia unyama wa Simba yule jamaa ni muhuni anajua katoka wapi acha chuki binafsi Diamond is the king kwa sasa.
 
Una moyo uliyojaza chuki mno

Kama davido alifanya mond awike zaid kwann upande wenu msipande Huko?


Piga kazi kwa bidii
 
Ruge amepass away mmeamisha mpira..hivi sisi wabongo tunashida gani??

Na huyo b12 mbona unamtaja as if ni mungu mtu kwenye huu muziki wa bongo..
Kwenye Xxl huwa wanamuita Boss. Huenda anaka ushawishi fulani.
 
Sasa kama kuna watu 10 kutoka clouds what so special??

Kila mtu afanye kazi kimpango wake na akubalike kimpango wake..
 
Ruge amepass away mmeamisha mpira..hivi sisi wabongo tunashida gani??

Na huyo b12 mbona unamtaja as if ni mungu mtu kwenye huu muziki wa bongo..
Hapo utagungua tatizo siyo RUGE hao watoto wenyewe wa WCB ndo wana shida mzee kila mtu hamuelewani nae why?
 
Uzi wako ni mzuri brother kwa kijana wa kileo [wasasa] Ila kuna kitu nakuomba

kama unamuogopa mungu wako toa hiyo profile picha yako mbele hapo

#sio lazima nimekuomba
Sawa sawa hawa ni wale wasiojitambua wapo wapo tuu
 
Basi kile kiburi cha wasanii wenu ndo hadi mashabiki zao mnacho hahahahaaaa ona uli yovimba kwnye kujibu...mtakunya mavi mtalalama hadi mfe kwa upuuzi huu wa kujiona nyinyi ndo nyinyi sheenz
 
Sasa kama kuna watu 10 kutoka clouds what so special??

Kila mtu afanye kazi kimpango wake na akubalike kimpango wake..
Umeona idadi ya watu wa CMG tu? Hujaona wa times na IPP? Maana waliotoka times ni wengi zaidi.

Kuna Calypso, Jonijoo wote hawa wametoka times, kuna Mo town sanya na wengine mafundi kibaooo
 
Una moyo uliyojaza chuki mno

Kama davido alifanya mond awike zaid kwann upande wenu msipande Huko?


Piga kazi kwa bidii
Asa mnalalamika nn kama mnayajua yote hayo wazee kama nyie ndo mpo ON TOP na mnahisi hakuna kama nyinyi nyamazeni mambo yaende asa huyu mtoa post analalamika lalamika nn hapa puuumbav
 
Basi kile kiburi cha wasanii wenu ndo hadi mashabiki zao mnacho hahahahaaaa ona uli yovimba kwnye kujibu...mtakunya mavi mtalalama hadi mfe kwa upuuzi huu wa kujiona nyinyi ndo nyinyi sheenz
WCB ni WCB kiamba mkumba wewe, Diamond kafanya show peke yake Kahama kwa masaa matano uwanja ulijaa ajabu, Geita kwa wanyamwezi kule ndio balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…