Ukitaka kutengwa na wasanii jiweke karibu na WCB

Umemaliza Kila kitu ingawa me sio mpenzi wa hiz timu ila mara nyingi zinapobishana timu diamond wanashindaga wanaongeaga facts kuntu lkn timu kiba wanabwabwaja.Umemshinda huyo jamaa kwa facts takatifu ajipange upya
 
Hivi utawezaje kuichunia WCB?
Boss wake ndiye mTZ anayeongoza kwa followers.
Wanamiliki YouTube channels mbili zenye subscribers wengi zaidi.

Wana media hivi una akili wewe?
 
Kaka this is TZ hata alichofanya davido kwa diamond ilikuwa ushkaji tu davido alikuwa mbaaaaali sana kimafanikio akampa dollar 5000 wakapiga kazi dunia ikamuona bt yy anabaaaaaana anachaguuuuuua kolabo stupid
 
Soma maneno yako[emoji116]

Umemaanisha kahama ni kijijini pengine hupajui huyu jamaa alijaza vichwa, Sumbawanga wanasubiri.
Kujaza O2 si rahisi kutokana na language barrier
Siyo KAHAMA TU kaka Kwa hiyo 02 arena aloitaja hata DAR ni kijijini we huoni kuna ulinganisho hapo akajaze DUNIANI huko unatutajia kahama tena kwa level ya Diamond umechanganyikiwa nn mzee...
 
Jioe moyooo bayo n mataminio yako aende oman akapige show huyo mmakonde wenu pumnav unazungumzia kahama??..umechanganyikiwa eeeh
Hivi hukuiona show ya Simba na harmonize huko Oman ilivyouwa?

BTW nasikiliza The story book ya Wasafi FM hutojutia siku ukisikia, wanaelezea story ya Christopher Columbus
 
Sasa why MNALALAMA JAMANIIII FUTENI BAS HII POST.
Hivi utawezaje kuichunia WCB?
Boss wake ndiye mTZ anayeongoza kwa followers.
Wanamiliki YouTube channels mbili zenye subscribers wengi zaidi.

Wana media hivi una akili wewe?
 
Hivi utawezaje kuichunia WCB?
Boss wake ndiye mTZ anayeongoza kwa followers.
Wanamiliki YouTube channels mbili zenye subscribers wengi zaidi.

Wana media hivi una akili wewe?
Mtu aliyezaliwa na roho za kichawi chawi huwa hafurahii mafanikio ya watu wengine hata siku moja.
 
Kaka this is TZ hata alichofanya davido kwa diamond ilikuwa ushkaji tu davido alikuwa mbaaaaali sana kimafanikio akampa dollar 5000 wakapiga kazi dunia ikamuona bt yy anabaaaaaana anachaguuuuuua kolabo stupid
Davido mameneja wake wanamtizama kama bidhaa na ndio maana kwa wakati huo walihitaji dola 5000,sababu Mondi ataitumia bidhaa yao na duniani kote katika nchi zinazoendesha mziki ki-professional zinafanya hivyo,Cris Brown bila Dola laki 3 hujafanya nae collabo,Wizkid bila dollar elfu 50 hujafanya nae collabo.Inamaa na Wizkid na Cris Brown nao wana bana.
 
Siyo KAHAMA TU kaka Kwa hiyo 02 arena aloitaja hata DAR ni kijijini we huoni kuna ulinganisho hapo akajaze DUNIANI huko unatutajia kahama tena kwa level ya Diamond umechanganyikiwa nn mzee...
Kumbe nabishana na mtu asiysjua kitu HAHAHAHAHA siyo 02 ni O2 wewe,
 
Hivi hukuiona show ya Simba na harmonize huko Oman ilivyouwa?

BTW nasikiliza The story book ya Wasafi FM hutojutia siku ukisikia, wanaelezea story ya Christopher Columbus
Anhaa walienda wawili eeeh...bas ALI KIBA alienda peke yake kaka mfalme wa OMAN bw QABOOS akataka kumpa na jumba lenye wafanyakazi 30 na mshahara wa dollar 50000 kila mwez sawa na mil 125 huku akimuomba abadili uraia afu leo mnatuambia et harmo akamdunike ALI puuuuumbav
 
We jamaa unaandikaga point Sana sijui unakuaga unaandika huku ukiwa hauna stress.Huyo jamaa unayemjibu inaonekana sio mfuatiliaji wa industry ya mziki au ana tatizo la ukibalism ndo maana anaandikaga pumba.
 
Na kwa levo ya diamond kipind kile dollar 5000 ilikuwa bei ya kishkaj tena sana..
 
sio wanajifanya wapo top kweli
 
Pole narudia tena pole sana kumbe hata hfuatilli habari za kings music unamfuatilia Simba!

Alikiba alienda Oman akiwa na Ommy dimpoz na kings music crewe yote na ndio waka_shoot hadi kichupa chao
 
Huyu ikiriri ni fala mmoja tu hana mbele wala nyuma ndie alieanzisha uzi
Nimekuamini mzee..mtu mnasema wao ndo wanaongoza kwa mashabiki,pesa na kila kitu naona wameamua kutaka kuongoza na KULALAMIKA..
 
1000+Giant people behind him
Hao wasanii ni wajinga sana na wasitegemee ianguke WCB ndiyo washike chat. Utasikika ukiwa na muziki mzuri halafu kingine wanaua muziki. Kama wanaugomvi wamalizane na siyo kuharibu Muziki. Diamond anabebwa kwa kuimba muziki mzuri na siyo vinginevyo. Mwisho wa siku muziki utakuwa kama Bongo Movie.
Afrika kutoka kimuziki ni ngumu sana ndiyo maana AKON alijiongeza akaenda USA. Huwa na napenda sana bifu za ulaya za wasanii. Watagombana lakini kwenye issue ya hela wapo pamoja. Uliona bifu la 50 cent na Kanye West.
Hao wasanii na huyo jamaa B12 hawana akili wanafikiri kutumia matako. Mpaka nimewadharau
Tunataka muziki wa Tanzania uvuke boda wenyewe wanataka kuua. Nyambafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…