Ukitaka kutengwa na wasanii jiweke karibu na WCB

Sasa malalamiko ya nn kama wapo top kaka me hapo ndo napata tabu...nyamazeni pigen kaz huenda hamjatengwa ila kwa kuwa mpo top wenzenu mewaacha mbaaaaaaaalai sana so hamjatengwa ni umbali tu mlowaacha wenzenu NAOMBA MSILALAMIKE JAMANI.
sio wanajifanya wapo top kweli
 
Na kwa levo ya diamond kipind kile dollar 5000 ilikuwa bei ya kishkaj tena sana..
Davido kipindi kile alikuwa sio mkubwa kivile na ndio maana thamani yake ikabaki vile,mfate sasa hivi Davido alafu uone kama management yake kama itachukua hizo dollar elfu 5.Kuna wasanii kibao hapa kila siku wakihojiwa nina nyimbo na Wizkid mara hoo nina nyimbo na Davido lkn mpaka hivi sasa kwa nini huzisikii.
 
Si angetafuta wakubwa kama davido alikuwa mdogo
 
Pole narudia tena pole sana kumbe hata hfuatilli habari za kings music unamfuatilia Simba!

Alikiba alienda Oman akiwa na Ommy dimpoz na kings music crewe yote na ndio waka_shoot hadi kichupa chao
Show kafanya nani?..kwwnda ni suala jingine na kufanya show n suala jingine kilaza ww
 
Nyokoo hakuwa mkubwa?..pumbav kweli
Hivi mpaka anafanya nyimbo na Diamond Davido alikuwa na hit ngapi,ukiitoa GOBE na Skelewu alafu umfananishe na huyu wa sasa ambaye Ana utitiri wa tuzo kibao na hiti kibao.
 
Bongo ukifanikiwa unachukiwa wazi wazi.
Yaani waswahili hawataki uwazidi. Wanapenda kusujudiwa.
 
Mm nafatilia muziki nashukuru pia unafatilia za king ndo mama ulijua kama walienda na ommy na cheed
Pole narudia tena pole sana kumbe hata hfuatilli habari za kings music unamfuatilia Simba!

Alikiba alienda Oman akiwa na Ommy dimpoz na kings music crewe yote na ndio waka_shoot hadi kichupa chao
 
Hahahaaaa!! Sina kama kuna lebo kubwa Africa kama WCB.Pia WCB wanawaza kufanya kazi na wasanii wa kimataifa zaidi. WCB empire 4life
 
mkuu umeongea fact.... Lakini kumbuka anachofanya jamaa nae alifanyiwa kwahiyo ni kama analipa fadhila kupitia kwa wengine...and by the way uliposema hakuna msanii amewahi toa connection umekosoa back in days AY kafanya sana izo mbanga na kama hujui yeye ndo sababu ya featuring ya mond na P square
 
Wcb inamashabiki wengi Sana hao ndo wanaibeba na mziki Ni mashabiki pia na wao hawajabweteka wanafanya kazi kwelkwel ili wasiwaangushe mashabiki zao.hao wasanii wenye chuki km wanataka wcb ishuke akuna njia nyingine Zaid ya kuwaua mashabiki wao.
 
OK najua na asante kwa kunikumbusha ila mimi nimezungumzia kwa sasa nani anaweza kufanya.
 
Kaka this is TZ hata alichofanya davido kwa diamond ilikuwa ushkaji tu davido alikuwa mbaaaaali sana kimafanikio akampa dollar 5000 wakapiga kazi dunia ikamuona bt yy anabaaaaaana anachaguuuuuua kolabo stupid
Diamond anafanya muziki wa biashara na anataka kuuza mpaka nje ya nchi. Hata kama mimi siwezi kufanya na kila msanii ili mradi anapesa ninazozitaka. Huko ndiko kujishusha chini wakati unataka kwenda juu.
Uwe unatumia kichwa kufikiri.
 
Hahahaaaa!! Sina kama kuna lebo kubwa Africa kama WCB.Pia WCB wanawaza kufanya kazi na wasanii wa kimataifa zaidi. WCB empire 4life
Duuu nimeona nisikae kimya kwa hili, kijana fuatilia mziki usifuatilie ushabiki nenda kwenye browser yako andika Mavins Records then urudi kuandika upya
 
Duuu nimeona nisikae kimya kwa hili, kijana fuatilia mziki usifuatilie ushabiki nenda kwenye browser yako andika Mavins Records then urudi kuandika upya
Marvin zamani na juzi Tiwa Savage kaondoka sasa hivi YBNL ya alamide,Starboy ya Wizkid na label ya David kuna dogo Mayorkun yupo Vizuri sana,Marvin hawapo vizuri kwa sasa.
 
Wcb inamashabiki wengi Sana hao ndo wanaibeba na mziki Ni mashabiki pia na wao hawajabweteka wanafanya kazi kwelkwel ili wasiwaangushe mashabiki zao.hao wasanii wenye chuki km wanataka wcb ishuke akuna njia nyingine Zaid ya kuwaua mashabiki wao.
Mimi huwa sina timu ila napenda muziki mzuri. Wasanii kinachowabeba ni kuimba muziki mzuri na siyo vinginevyo. WCB wanaimba muziki mzuri ndiyo maana wapo kwenye chati. Unajua kuna watu wanaongozwa na ushabiki na hisia.
Muziki mzuri ndiyo unaowabeba WCB na si kingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…