Diamond hajajiweka mbali na Wasanii wenzake,hivi niambie msanii gani anaweza kukuunganisha na msanii mwengine wa nchi nyingine kama si Diamond ,mnyonge myongeni haki yake mpeni kwanza ww NAKUJUA HUMPENDI DIAMOND NA HUJAWAHI KUMPENDA.
Lakini Mh Temba kishwahi kukiri nyimbo yake na chege,Diamond ndiye aliyewaunganisha na Dj Maphorisa ,hivi nani kashawahi kufanya hivyo kwa wasanii wenzake?Shetta yule Mondi kamuunganisha na KCEE ktk Shikorobo hivi nani kashafanya kama hivi,Madee ana nyimbo yake kafanya na Techno Madee mwenyewe kwa Kinywa chake anamshukuru Diamond.Sasa Diamond angekuwa anajiweka mbali na wasanii hao akina Chege,Madee ,Temba na Shetta hizo collabo wangezipata?.
Mondi kamvimbia nani?au kutaka kutetea maslahi yako ndio kuvimba mbona hata akina Sugu na Jide washawahi kufanya kama Mondi au kafanya Mondi ndio tatizo.
Kijana mziki ni biashara kila mtu ana terms zake,kama hamtaelewana basi msiwekeane vinyongo,dogo Mondi mziki ni biashara yake mwacheni apange terms zake,kwani yy kawekeza hela yake,utake usitake hamna msanii mwenye Exposure kama Diamond,hajasoma lakini kupitia kutembea nchi nyingi kajifunza vitu vingi jinsi mziki unavyoendeshwa ktk nchi nyinginena tatizo washikadau wanataka kuendesha mziki KISHIKAJI na si KIPROFFESSIONAL (kibiashara)zaidi na dogo anachogombana nao mziki wake yy anautizama kama biashara.