Infinite_Kiumeni
JF-Expert Member
- Jan 23, 2023
- 382
- 687
Kabla hujataka awe na hisia na wewe zaidi. Kabla hujataka akupende zaidi.
Anza kwanza kumfanya awe na imani nawe. Ili aweze kujiachia kwako. Akishakuamini ni rahisi kukupenda zaidi, kukusamehe zaidi na kuwa na hisia nawe zaidi.
Hata kwenye mahusiano, endelea kujenga imani Mana haijalishi mmeishi muda gani, kama ukibweteka mwanamke hatokupenda tena. Hatokuamini tena. Na ataanza kujiweka mbali nawe, atajitoa kihisia, atakua anakujaribu sana, au hatokufanyia vitu unavyopenda ufanyiwe tena na hatoweka nguvu zake ili akuridhishe.
Ili kuaminiana lazima mpeane muda. Lakini ni muhimu tangia mwanzo uanze kujenga imani.
.
Msikilize
Wanawake wanapenda kuongea.
Hivyo, wanahitaji mtu wa kuwasikiliza. Bila kumjaji.
Ukiwa naye mpe nafasi aongee zaidi kuliko wewe.
Usipate shida kujua mtaongea nini, bali muulize maswali na umsikilize utapata tena maswali mengine na mtaongea zaidi, kwake ataona amepata mtu anayemsikiliza, hivyo atakuamini kwa kuwa kwako anaona yupo huru kuongea. Pia umuulize maswali mazuri yatakayomfanya afunguke zaidi.
.
Usiwe mtu wa kuongelea mabaya tu
Kuongelea mabaya ya ex wako/ kazini kwako/ boss wako.
Na yeye pia atajiona unamuongelea vibaya, na hatokuamini kuwa nawe.
.
Onesha ujasiri wako.
Kama tujuavyo, mwanamke anapenda mwanaume jasiri.
Ujasiri wako utamfanya mwanamke ajiachie kwako kirahisi.
Kadri unavyojiamini, ndivyo inakua rahisi kwake kujiachia kwako.
Ujasiri wako utaonesha kwa;
Kumkanya,
Kuongoza mahusiano utakavyo,
kuongea unachotaka bila kumwogopa,
Kumwambia mahali ambapo hakuridhishi,
Kuwa na misimamo na mipaka na kuisimamia,
Kutoyumbishwa na vitendo vyake na maneno yake, na
Kumuongoza na kumwambia utakacho kuliko kutegemea aotee.
.
Mchekeshe
Mwanzoni ni ngumu mwanamke kujiachia kwako kirahisi.
Lakini akicheka ni rahisi kujiachia na kuongea naye kirahisi.
Mchombeze na mfurahi pamoja.
Jiepushe na mada ngumu ambazo zinasababisha watu kutofautiana. Kama dini na siasa.
.
Weka nguvu zako kwake mkiwa pamoja
Sio kila muda, muda wa kazi ni wa kazi. Lakini mkiwa pamoja weka umakini kwake. Sio unamwangalia kila mwanamke anayepita. au unageuka kumwangalia kila mwanamke.
Atakuona mtu wa tamaa tu, umtumie uondoke na haupo tayari kujenga maisha naye.
Hatokuamini. Inabidi ujiongoze mwenyewe na sio hisia zako za matamanio zikuongoze.
Lakini usihangaike na mwanamke asiyeonesha anakuhitaji. Usimfukuzie. Haina haja, bora uweke nguvu zako kwa mwanamke mwingine.
Pia kumbuka hata mkiwa kwenye mahusiano/ ndoa huo mchakato wa kumtongoza mwanamke unaendelea.