Ukitaka kutongoza bila shida, mfanye akuamini kwanza kwa kuzingatia haya

Umesahau jambo moja muhimu wewe kua na furaha ya maisha kwanza. Furaha ukiwa nayo wewe italeta yote ayo. Sio una stress soko la karume limeungua afu uanze kusikiliza mwanamke anasema nini. MTAGOMBANA
 
Wengi wao ni vichwa panzi. Utajisumbua bure mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…