Ukitaka kuua panya, kunguru au paka tumia Energy Drink

The redemeer

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2025
Posts
4,778
Reaction score
8,232
Kama unasumbuliwa na panya waharibifu loweka nafaka mfano karanga, mahindi, nk kwenye kinywaji cha energy drink yoyeto iliyochemshwa, kisha weka kwenye njia zao wakila tu hawachukui round utaokota mizoga.

Hata paka au kunguru we loweka nyama au samaki kwenye energy kisha weka sehemu atakayoweza kula ulete mrejesho. Ila ni lazima energy uichemshe au unaweza iweka chupa kwenye maji ya moto yanayochemka.

Nimeona wakulima Morogoro hutumia energy kuua mifugo ya wafugaji wanaolisha mifugo kwenye mashamba yao, kwa kuichemsha na kumwagia nyasi ng'ombe wakila tu wanakufa.

Energy drink yoyoto ikichemshwa ugeuka kuwa sumu.
 
Hii itasaidia sana kupunguza visumbufu.
 
Turudi kwenye science. Energy drink zina kiwango kikubwa cha caffeine,Taurine,Sugar and other additives. Wanyama wengi hawana metabolism ya kuchakata caffeine hivo kuna uwezekano wakiichemsha energy drink wanapunguza kiwango cha maji na kuifanya iwe more concetrated kiasi cha kuwapa madhara. Ila naamini ili ifanye kazi inabidi watumie kiwango kikubwa sana in a small area kwenye majani kwa ng’ombe kula na kumletea madhara au kumuua.
 
Nimejaribu haikuua
 
Wee jau
 
Mwamba wazo NI zuri Sana ila Binafsi nimefikiria kuwatumia panya Kama kitoweo cha mbwa na kuku pia Kwa kuwarostisha kisha kuwapa mbwa ninaofuga na kuku Kama inawezekana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…