Ukitaka kuuteka moyo wa single mother mpende mwanaye kuliko yeye

Ukitaka kuuteka moyo wa single mother mpende mwanaye kuliko yeye

Mkuu hapo umegusa, tatizo mapenzi ni yenu ila dakika 5 hazipiti mtoto wake lazima atajwe....
Inaua vibe sana hii.
 
SIKU ZA MWANZO, KUBEBA MIMBA NA KULEA ILIONEKANA NDIO SIFA YA KUWA MALKIA WA NGUVU!
SIKU ZA SASA, WANAELEWA MALEZI YA MZAZI MMOJA NDIO MALEZI HAFIFU NA DHAIFU ZAIDI.NDIO CHANZO CHA MACHOKO, MASHOGA, MARIOO, MACHAWA.
KWA WATOTO WA KIUME NDIO MBAYA ZAIDI: UNAKUTA KIJANA KATEPETA MWILI NA AKILI.

ANGALIZO:CHOCHOTE KILICHO KINYUME NA MPANGO WA MUNGU, HAKIDUMU!
 
Hahaaa sasa nani aanze kuhangaika kua baba wa mtoto wa mtu mwingine aah bora niache iko kitumbua
 
Umechelewa kujua,mabaharia walishatukojolea kwa njia hiyo mpaka tukawashtukia.Saivi wanatoa hela tu

[emoji23][emoji23] umempata wako tu, kuna akina sie tunaitwa don’t try this @ home mbona uta kimbia wewe..
 
Kwanini utake kuteka moyo wa mtu ?

Huko ni kujipa obligations zisizo lazima..., ukiuteka utautunza au utaishia kuutupa na kuuchakaza

Kumbuka Thin line between love and Hate..., huko ni kujitengenezea visirani na chuki huko mbeleni zisizo na mpango...
 
Mkuu hapo umegusa, tatizo mapenzi ni yenu ila dakika 5 hazipiti mtoto wake lazima atajwe....
Inaua vibe sana hii.
Kuna mmoja huyo mda wote story ni za mwanawe na baba mtoto wake mara unasimuliwa kesi baba mtu kaenda kumchukua mtoto shule katoroka Naye kazi yako inakuwa kumpa moyo tu.
 
Hahaaa sasa nani aanze kuhangaika kua baba wa mtoto wa mtu mwingine aah bora niache iko kitumbua
Haya ndio madhara ya watoto kujadili maswala na khabari za watu wazima. Sisi wanaume ni baba walezi. Kazi zetu ni kuweka mkate mezani, kutafuna kitumbu, na kuwafundisha watoto. Hayo ya DNA hayatuhusu. Tatizo vijana wa sasa hampendi kufanya kazi na kutimiza majukumu yenu ya msingi. Hakuna mwanaume mwenye uwezo wake anaangalia mwanamke ana watoto wangapi, akimpenda anaweka ndani. Kipindi chetu cha ujima wanaume tunapotelea vitani mwaka mzima. Tunarudi tunakuta wake zetu wana mimba na maisha yanaendelea kw amani.
 
Kuna mmoja huyo mda wote story ni za mwanawe na baba mtoto wake mara unasimuliwa kesi baba mtu kaenda kumchukua mtoto shule katoroka Naye kazi yako inakuwa kumpa moyo tu.
Anahitaji faraja yako
 
100% ukweli huo mkuu. Nilipataga singlemother mmoja very simple kwa style hiyo yaani ilikua namchukua mwanae na mbeba kdgo namnunulia pipi mara juicy mara biskuti mara akidondoka namuokota namfuta vumbi bwana weee chap chap tu tukazama kwenye mieleka ile haikuchukua muda mrefu. Hata kutongozana haikuepo ni macho tu yalifanya kazi yake
 
Back
Top Bottom