Waliosoma course za uchumi na sheria ndo huwa wazuri kwenye siasa mana siasa inataka mchumi au mwana sheria.
Tuwe wakweli, hivi engineer, mwalimu, mhasibu etc unaenda kuzungumza nini kwenye siasa mana mhasibu anachojua ni micro economics tu hajui hata game theories zinaoperate vipi ili kulet aushindani na manipulations.
Siasa za kisasa zinahitaji manipulations na wizi kwa njia sahihi kabisa sasa wachumi ndo wanaweza sana.
Throug welfare economics siasa inakiwa nyepesi sana. Sasa unaingia kwenye siasa hata welfare economics hujui hizo siasa unafanyaje?
Ndo mana jpm alikuwa anaboronga kila kitu kwa sababu ni mwalimu.