Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Walikuwa bora?Hv mwalimu Nyerere alikuwa nani vile? Rais Mkapa vp naye? to mention few sasa cjui andiko lako kama lina make sense.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walikuwa bora?Hv mwalimu Nyerere alikuwa nani vile? Rais Mkapa vp naye? to mention few sasa cjui andiko lako kama lina make sense.
Sasa huyo Nyerere c ndiye aliyesababisha tuwe hivi tulivyo aliuwa kabisa uchumi wa nchi hao viongozi waliokuja baada ya Nyerere angalau wakatifikisha hapa tulipo.Hv mwalimu Nyerere alikuwa nani vile? Rais Mkapa vp naye? to mention few sasa cjui andiko lako kama lina make sense.
Sio kweli 100%Waliosoma course za uchumi na sheria ndo huwa wazuri kwenye siasa mana siasa inataka mchumi au mwana sheria.
Tuwe wakweli, hivi engineer, mwalimu, mhasibu etc unaenda kuzungumza nini kwenye siasa mana mhasibu anachojua ni micro economics tu hajui hata game theories zinaoperate vipi ili kulet aushindani na manipulations.
Siasa za kisasa zinahitaji manipulations na wizi kwa njia sahihi kabisa sasa wachumi ndo wanaweza sana.
Throug welfare economics siasa inakiwa nyepesi sana. Sasa unaingia kwenye siasa hata welfare economics hujui hizo siasa unafanyaje?
Ndo mana jpm alikuwa anaboronga kila kitu kwa sababu ni mwalimu.
Jamaa kwa hili andiko nakushauri ungelifuta tu, maana linasadifu jinsi gani ulivyo zumbukuku na zuzu kichwani.Waliosoma course za uchumi na sheria ndo huwa wazuri kwenye siasa mana siasa inataka mchumi au mwana sheria.
Tuwe wakweli, hivi engineer, mwalimu, mhasibu etc unaenda kuzungumza nini kwenye siasa mana mhasibu anachojua ni micro economics tu hajui hata game theories zinaoperate vipi ili kulet aushindani na manipulations.
Siasa za kisasa zinahitaji manipulations na wizi kwa njia sahihi kabisa sasa wachumi ndo wanaweza sana.
Throug welfare economics siasa inakiwa nyepesi sana. Sasa unaingia kwenye siasa hata welfare economics hujui hizo siasa unafanyaje?
Ndo mana jpm alikuwa anaboronga kila kitu kwa sababu ni mwalimu.

Hata mwanauchumi anajua micro economics tu kama mhasibu.Waliosoma course za uchumi na sheria ndo huwa wazuri kwenye siasa mana siasa inataka mchumi au mwana sheria.
Tuwe wakweli, hivi engineer, mwalimu, mhasibu etc unaenda kuzungumza nini kwenye siasa mana mhasibu anachojua ni micro economics tu hajui hata game theories zinaoperate vipi ili kulet aushindani na manipulations.
Siasa za kisasa zinahitaji manipulations na wizi kwa njia sahihi kabisa sasa wachumi ndo wanaweza sana.
Throug welfare economics siasa inakiwa nyepesi sana. Sasa unaingia kwenye siasa hata welfare economics hujui hizo siasa unafanyaje?
Ndo mana jpm alikuwa anaboronga kila kitu kwa sababu ni mwalimu.
This is totally uncouth argument from a primitive person and uneducated as well na imejaa ujinga uliotoka kwa mtu mjinga.jipe muda ujifunze bwana mdogo.Waliosoma course za uchumi na sheria ndo huwa wazuri kwenye siasa mana siasa inataka mchumi au mwana sheria.
Tuwe wakweli, hivi engineer, mwalimu, mhasibu etc unaenda kuzungumza nini kwenye siasa mana mhasibu anachojua ni micro economics tu hajui hata game theories zinaoperate vipi ili kulet aushindani na manipulations.
Siasa za kisasa zinahitaji manipulations na wizi kwa njia sahihi kabisa sasa wachumi ndo wanaweza sana.
Throug welfare economics siasa inakiwa nyepesi sana. Sasa unaingia kwenye siasa hata welfare economics hujui hizo siasa unafanyaje?
Ndo mana jpm alikuwa anaboronga kila kitu kwa sababu ni mwalimu.
Mkuu umeanzia mbali, kumbe lengo lako lilikuwa hapo mwisho😂Waliosoma course za uchumi na sheria ndo huwa wazuri kwenye siasa mana siasa inataka mchumi au mwana sheria.