Ukitaka kuwa mwanasiasa mzuri somea sheria au uchumi. Fani zingine utaboronga kwenye siasa

Hv mwalimu Nyerere alikuwa nani vile? Rais Mkapa vp naye? to mention few sasa cjui andiko lako kama lina make sense.
Sasa huyo Nyerere c ndiye aliyesababisha tuwe hivi tulivyo aliuwa kabisa uchumi wa nchi hao viongozi waliokuja baada ya Nyerere angalau wakatifikisha hapa tulipo.
 
Sio kweli 100%
 
Jamaa kwa hili andiko nakushauri ungelifuta tu, maana linasadifu jinsi gani ulivyo zumbukuku na zuzu kichwani.
 
Siasa ni fani inayosomewa na kupata degree... Bachelor in Political Science. Wanasiasa wengi huimaliza kozi hiyo katika muda mfupi sana na kupata mwanya wa kuongezea ujuzi kwenye sheria, uchumi na wakati mwingine mambo ya adminstration.
Huku kwetu ni changanyikeni, kila anayejisikia kuingia kwenye siasa anaruhusiwa kupata chama kitakachomdhamini madhari ana uwezo wa kuongea maneno mengi kwa haraka, tena kwa sauti kubwa. Kama una uwezo wa kusifia ndio kabisa.!
 
Hata mwanauchumi anajua micro economics tu kama mhasibu.
 
This is totally uncouth argument from a primitive person and uneducated as well na imejaa ujinga uliotoka kwa mtu mjinga.jipe muda ujifunze bwana mdogo.
 
Mkuu umeanzia mbali, kumbe lengo lako lilikuwa hapo mwisho😂
 
Kwani ukiwa rais ndio utakua unaendesha nchi kama familia yako? Nchi inahitaji kiongozi mwenye maono na mwenye maoenzi ya kweli kwa nchi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…