Ukitaka kuwa tajiri, usiende shuleni

Ukitaka kuwa tajiri, usiende shuleni

nakubaliana na wewe halo maelezo yako ni mafupi na wengi ambao hawatakuelewa watakupinga,kama wanavofanya wasiomwelewa Robert Kiyosaki ambaye bila shaka ndiye mwalimu wako.
Tofauti na wengi wanavyoamini,Robert Kiyosaki hasemi kwamba tusipeleke watoto shule,lakini anahamasisha mabadiliko katika mfumo wa elimu,maana tunakwenda shule ili tuje kuwa waajiriwa badala ya kujiajiri na kuajiri wengine.
Tupeleke watoto shule lakini pia nyumbani tuwafundishe kitu ambacho shuleni hawajifunzi,"financial education",mtu anaweza kuajiriwa na bado akawa financially free,ni suala la wewe unafikiri nini kuhusu pesa,Kuna rules za pesa,za zamani na za sasa,wewe unafuata rules zipi?

sure thinker
 
kuna Wengi
tu, ford, sir Alan , mmiliki wa virgin ailines etch
 
nakubaliana na wewe halo maelezo yako ni mafupi na wengi ambao hawatakuelewa watakupinga,kama wanavofanya wasiomwelewa Robert Kiyosaki ambaye bila shaka ndiye mwalimu wako.
Tofauti na wengi wanavyoamini,Robert Kiyosaki hasemi kwamba tusipeleke watoto shule,lakini anahamasisha mabadiliko katika mfumo wa elimu,maana tunakwenda shule ili tuje kuwa waajiriwa badala ya kujiajiri na kuajiri wengine.
Tupeleke watoto shule lakini pia nyumbani tuwafundishe kitu ambacho shuleni hawajifunzi,"financial education",mtu anaweza kuajiriwa na bado akawa financially free,ni suala la wewe unafikiri nini kuhusu pesa,Kuna rules za pesa,za zamani na za sasa,wewe unafuata rules zipi?

absolute.
 
Kuhusu Bill Gates na Mark Zuckerberg wa facebook.
Hawa mabilionea sio kama hawakusoma bali hawakumaliza masomo yao ili waendeleze project zao.

ukiwa makini utaona tofauti iliyopo kati ya mtu asiyeenda shule kabisa na yule aliyeenda kisha akaacha mwaka wa mwisho wa masomo. Wote hawtokuwa na vyeti lakini vichwani watakuwa tofauti.

Bill na Mark walianzisha prjects zao kutokana na knowledge waliyoipata kutoka chuoni.(ingawa hawakumaliza mwaka miaka ya masomo iliyowekwa na chuo)

hivyo Bill na mark hawana vyeti lakini wamesoma ingawa hawakumaliza miaka iliyopangwa. tena walisoma katika chuo bora kabisa duniani, Havard University.

Vijana mnaosoma hii thread ni vizuri mkainoti hii.
 
The more educated you are,the higher the risk averse you will be. The less educated the more risk lover you will be. And as the principle goes,the higher the risk the higher the return. Wasio na elimu wanaweza kuwekeza kwenye biashara yeyote bila woja na kujiuliza mara mia mia. Hawaogopi matokeo. Na wengi huwa wanafanikiwa sababu sehemu wanazowekeza wengi huwa wamezikimbia.
Mwanzo kwenye kidhungu nilikuwa sijaelewa.
Kwenye kiswahili nimekupata.
Naungana na wewe,wengi ni wazee wa kijiripua na wengi hufanikiwa.,siunajua wasomi wetu wao mpaka waende na mavitabu yao wafanye upembuzi yakinifu namambo tele ya ku Copy and paste to the site.
 
YAP.umenipata vizuri kumbe unajua wasomi ndo wanamuendeshea biashara mkuu ni sawa kabisa. ndo nina makala moja inasema.JE UNAJUA KWA NINI WALIOFAULU WANA AJIRIWA NA WALIOFELI?.
WALIO GRADUATE NA ''A au GPA YA FIRST CLASS HUWA WANAAJIRIWA NA WENYE C NA D NA WENYE SECOND CLASS HUAJIRIWA NA SERIKALI.

Haya sasa kazi hiyo
 
hili ni suala mtambuka.labda niseme hivi navyosema masikini simaanishi kuwa ni hana kitu kabisa tena wanalipwa zaidi ya 4miiion.lakini wana financial security tuu .lakini hawana fi
ancial freedom.mkuu ipo tofauti kubwa sana kati ya financial security na financial freedom.
Kwa ufupi sana
financial security -you work for money
financial freedom-let money work for you

Tatizo mnafikiri kusoma ni 'kukalia matofali' na kuzawadiwa vikaratasi, hao mabillionea unaowasema walisoma, aidha walisoma alama za nyakati, au walisoma uwezo wao au anything... huko ndo kwenda shule mwenyewe, hawakukataa tu kwenda shule kama karume kenge then wakaamka mabillionea, lazima kuna kitu cha ziada walifanya.

Nadhani unataka kuzungumzia tofauti kati ya kujiajiri na kuajiriwa, na sio kati ya kwenda shule na kutokwenda...

Usipokwenda shule lazima ufe masikini. and lastly teach me how to make money work for me, I really would love that...
 
Kuhusu Bill Gates na Mark Zuckerberg wa facebook.
Hawa mabilionea sio kama hawakusoma bali hawakumaliza masomo yao ili waendeleze project zao.

ukiwa makini utaona tofauti iliyopo kati ya mtu asiyeenda shule kabisa na yule aliyeenda kisha akaacha mwaka wa mwisho wa masomo. Wote hawtokuwa na vyeti lakini vichwani watakuwa tofauti.

Bill na Mark walianzisha prjects zao kutokana na knowledge waliyoipata kutoka chuoni.(ingawa hawakumaliza mwaka miaka ya masomo iliyowekwa na chuo)

hivyo Bill na mark hawana vyeti lakini wamesoma ingawa hawakumaliza miaka iliyopangwa. tena walisoma katika chuo bora kabisa duniani, Havard University.

Vijana mnaosoma hii thread ni vizuri mkainoti hii.

Hili lako baba.dont force me to beleive wht ur saying hakuna formula ya maisha kila mtu kaandikiwa chake na atafanikiwa au kifeli kama alivyoandikiwa na muumba wake
 
Hili lako baba.dont force me to beleive wht ur saying hakuna formula ya maisha kila mtu kaandikiwa chake na atafanikiwa au kifeli kama alivyoandikiwa na muumba wake

Hapa hakuna maswala ya kuandikiwa na Mola dogo, fanya kazi, the world is not fair...
Mola anamsaidia anayejisaidia. ndo maana akasema asiyefanya kazi na asile.
 
Hili lako baba.dont force me to beleive wht ur saying hakuna formula ya maisha kila mtu kaandikiwa chake na atafanikiwa au kifeli kama alivyoandikiwa na muumba wake

Hapa hakuna maswala ya kuandikiwa na Mola dogo, fanya kazi, the world is not fair...

Kwa majibu hayo kwenye red yamejitosheleza.
Ndio maana Waafrika wengi ni masikini ni kwa sababu ya mawazo mgando kama hayo ya IBM2014
 
Last edited by a moderator:
Si kweli asilimia kubwa ya majiri ni wasomi na sio hao wachache wanao onyeshwa kama mfano angalia nchi yeyote wenye kipato cha juu asiliamia 25% utapata wasomi zaidi kuliko wale ambao hawajasoma. Wasomi nina maana ya degree moja au advance diploma. Kama unaangalia mabilionea wachache kuna ambao hawajasoma lakini mabilionea wako wangapi??. Mfano kama mtu ulikuwa unatengeneza $40,000 kwa mwaka na sasa natengeneza $78,000 hata kama si tajiri ni bora sana na maisha yangu yamebadilika. vilevile mambo ambayo naweza kufanya sijazuiwa na mtu kufanya kama biashara. Hao ma professor unaoongelea ni wachache watu wengi hawaendi shule kutafuta PHD kwani PHD inapatikana kwa research na wengi wao hawajawahi kufanya kazi za kawaida hivyo hawaendi kwenye PHD kwasababu ya utajiri
 
Mimi nafikiri wewe mwenyewe ndiyo unajichanganya! Kusema hakuna Professor Billionea ni makosa maana hakuna mtu alaiyesema unavyozidi kusoma ndiyo unazidi kuwa tajiri bali wahenga wanasema ukisoma unauhakika zaidi wa kuwa na maisha mazuri. Hivyo badala yake hapo juu ungetutajia mfano wa Maprofessor ambao ni masikini ili utushawishi tusisome na sisi.

Kuna Professor masikini unamjua hata mmoja?
ITEGAMATWI, tega vizuri masikio, kusoma sio kupata utajiri au maisha mazuri, ni kufuta ujinga, hakuna uhusiano katika kufuta ujinga na kupata maisha mazuri au utajiri, kwa sababu mimi binafsi naweza kukuthibitishia kuwa utajiri ni ujinga pia..
 
Acha kumpeleka mwanao shule ndugu na umpe mifano hiyo uliyoandika halafu uone akiwa mtu mzima lawama zitaenda kwa nani
 
Hii inaweza kuwa ni product ya il'im.
 
Kusoma kunabaki na umuhimu wake tu hasa kwenye nchi za dunia ya tatu
 
elimu ya tanzania usingizi tu ndo maaana tunalilia kazi za kuajiriwa , mtu amesoma ila huwezi kujua mpaka akupe cheti bila hivyo unaweza kudhan ni mkulima wa zamani, kwa alivyo na akili fupi
 
Wakati tukiwa O Level kuna siku tulikuwa uwanjani. Mwalimu wetu wa kilimo alimsifu Haji kuwa anaumudu mpira wa miguu kuliko darasani. Akasema, "ingekuwa ulaya, Haji wangemtoa shuleni wakamuendeleza kimichezo". Hakuna aliyemjibu na tulimuona kama hana akili. Akasema, "tabu yetu waafrika tunalazimisha watoto wapike wali wakati hawauoni na wamezoea ugali wa muhogo". Akazidi kutuchanganya. Nguuli akataka kujua kwa nini mwalimu aliongea hayo. Mwalimu akasema, "usilazimishe kumuita mtu paroko wakati yeye ni askari". Tukabaki tumetoa macho kama mjusi aliyebanwa na mlango.
 
Soma ndugu yangu,peleka mtoto shule akapate elimu apate walau Degree ndipo ajiajiri ila shule ya muhimu mkuu
1533689_10152252297754857_1826467082_n.jpg

Ukiwa na migomba yako haikatwi kodi ni mali yako, kila penny ya mshahara hukatwa kodi

Mleta hoja ana hoja nzuri pengine tunaichukulia kiulaini mno au kimtazamo kuwa kusoma sana ndiko kunakolipa ingawa tumeshuhudia si kila aliyesoma sana anafanikiwa kuelimika.

Elimu ya msingi ni kujua kusoma na kuandika
Maana ya hoja yangu hapo ni kwamba kwa mwenye upeo mzuri wa upongo akishajua kusoma na kuandika ulimwengu utakuwa umeshamfungukia mradi tu anautumia vema ubongo wake na kuwa mbunifu mzuri wa kuyatengeneza maisha yake. Makato ya wafanyakazi ndiyo yaliyojenga majengo marefu hapo Dar na kwengineko duniani lakini wenyewe wamebaki taabani baada ya kustaafu, wachache tu ndio waliokuwa na akili mbili za kuyaweka sawa mazingira yao mazuri baada ya kustaafu.

Kisa cha Mmarekani Thomas Edson kuachishwa shule ndani ya miezi mitatu tu kwa sababu ya utukutu, uvumilivu wa mama yake ni kumfunza mtoto wake kujua kusoma na kuandika, angalia hilo tu lilivyomsalidia kukuza bongo lake na kuvumbua mambo makubwa ambayo leo tunayafaidi duniani kama hisi battery, bulbs, vyombo vya muziki nk.

Mfumbuzi wa Apple aliyefariki miaka michache iliyopita vyuo kadhaa aliviruka kihunzi na kaumua kutuliza bongo lake na angalia sasa teknolojia yake inavyotesa kwenye ulimwengu wa computerization na mobile phones.

Sina maana mbaya kusema wavivu wa ubunifu ndio wanaofikiri kusoma sana ndio kutawafikisha kwanye mafanikio, ingawa wachache wao wamefanikiwa. Wengi wamejutia kushuhudia muda mwingi waliomaliza huko vyuoni na kurudi wakitangatanga mitaani kutafuta kazi wakati wenzao walishasetirika na maisha yanawaendea vizuri tu. Baya zaidi hao wasomi badala ya kutulia katika fani zao, kwa sababu ya kuona kile wanachokipata hakifikii ndoto zao ndio wimbi la kukimbilia kwenye siasa ambako inaonekana ni kuchota bila jasho.

Unachokipata kwenye siasa kinakodolewa macho na kila mlipa kodi unakila huku ukisimangwa, raha gani hii ya kuchumia majukwani na kula kwa kusimangwa badala ya kuchumia juani kiulaini unakitelemshia kinywani ukiwa kivunili bana.
 
Back
Top Bottom