Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ongeni yote sijui mlitakaje kweli watu wameshamaliza tukio kila mtu kapata chake mlitaka mwisho uweje ?Ndivyo ninaona ule ubwabwa wa bure wamefurahi na wamemwachia.
Hata ukimtaka mayele unaweza ukaanda biriani kabisa ukawapa na juice ya ukwaju au Pepsi bariidi.
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai ya rangi
watu tushavuta mil450,HIVI!BALEKE YUPO TIMU GANI KWA MKOPO VILEE?Ndivyo ninaona ule ubwabwa wa bure wamefurahi na wamemwachia.
Hata ukimtaka mayele unaweza ukaanda biriani kabisa ukawapa na juice ya ukwaju au Pepsi bariidi.
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai ya rangi
Dirisha dogo anapelekwa Simba kwa mkopo.Kolowizard roho inakuuma kuliko sisi tuliomuuza, tatizo mlidanganywa na msemaji wenu kua fei anakuja ukoloni kumbe mtoto wa watu anapenda ukwaju,poleni sana
TENA UBWABWA WA DUBAI