Ukitaka mchezaji yanga wape ubwabwa tu

Ukitaka mchezaji yanga wape ubwabwa tu

Ndivyo ninaona ule ubwabwa wa bure wamefurahi na wamemwachia.

Hata ukimtaka mayele unaweza ukaanda biriani kabisa ukawapa na juice ya ukwaju au Pepsi bariidi.
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai ya rangi
Ongeni yote sijui mlitakaje kweli watu wameshamaliza tukio kila mtu kapata chake mlitaka mwisho uweje ?
 
Kolowizard roho inakuuma kuliko sisi tuliomuuza, tatizo mlidanganywa na msemaji wenu kua fei anakuja ukoloni kumbe mtoto wa watu anapenda ukwaju,poleni sana
 
Ndivyo ninaona ule ubwabwa wa bure wamefurahi na wamemwachia.

Hata ukimtaka mayele unaweza ukaanda biriani kabisa ukawapa na juice ya ukwaju au Pepsi bariidi.
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai ya rangi
watu tushavuta mil450,HIVI!BALEKE YUPO TIMU GANI KWA MKOPO VILEE?
hizi hela za fei haziezi enda hivi hivi.
 
Kolowizard roho inakuuma kuliko sisi tuliomuuza, tatizo mlidanganywa na msemaji wenu kua fei anakuja ukoloni kumbe mtoto wa watu anapenda ukwaju,poleni sana
Dirisha dogo anapelekwa Simba kwa mkopo.
Dogo kamuacha kocha wa ukweli NABI anaenda kwa KALI ONGALA.
Ila kama amefuata pesa sio mbaya, lakini kwa kukuza career amebugi labda huko Umbumbumbuni ndio anaweza kutoboa.
 
MO aondoke atuachie timu yetu, hasipoondoka tunasusia bidhaa zake tunahamia kwenye bidhaa za Azam
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
KIBWABWA FC[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
Back
Top Bottom