Hebu sema na ww mkuu!Kuna vitu sio vya kunyimana kabisa yaani
Picha zitaletwa kaa kwa kutulia! uzuri mna waendesha vipindi wa kujitolea humu🤣Nyie nyanduaneni bn mtupe shuhuda mi ntawawakilisha vizuri huku offline
Kumbe kuna picha tenaPicha zitaletwa kaa kwa kutulia! uzuri mna waendesha vipindi wa kujitolea humu🤣
Na jumbe za sirini😁Kumbe kuna picha tena
Hapa nilale zangu jogoo wa shamba kila kitu kigeni kwangu.Na jumbe za sirini😁
Sleep well..😁Hapa nilale zangu jogoo wa shamba kila kitu kigeni kwangu.
🙏🙏🙏Sleep well..😁
Ukikaa vibaya vijana hawaachi kitu!😅Unataka kunikana we mzee nikuanike?
Kama kwa ukongwe wako humu hujawahi kuwekwa basi nakuvua nyota zote, hufai kuwa legend😅😅😅Kuvua hapa ni kutake risk sana dakika yoyote kisimi kinawekwa jukwaa la matangazo....hamuogopi!!! 😃
Kama ndiyo hivyo, tafadhali funga PMNdio eti. Yaani miaka yote hiyo ina mana hujui? 😀
Na wazee mkiwemo😅Ukikaa vibaya vijana hawaachi kitu!😅
Leo shift yako mchana mie usiku😅good morning kwanza🙂, jana nilikua busy ila leo nitashinda humu nipite kila kona za mji wa jeiyef👌
Usitutenge, kazi tunaijua wala sio shida!!Na wazee mkiwemo😅
Wapi wewe mnahemaga kama mnakata moto🤣Usitutenge, kazi tunaijua wala sio shida!!
Huwa nakuambia ujaribu usiongee tu! 😅Wapi wewe mnahemaga kama mnakata moto🤣
Mkikutana na kale kajoto tu kazi inaishia njiani!
Ili nigundue nini🤣Huwa nakuambia ujaribu usiongee tu! 😅
Umeweka mpira kwapani mapema sana, lete kazi uone kazi za wazee 😅Ili nigundue nini🤣
We tujaze server tu jf hapa😎