Ukitaka mdumu urafiki JF, msivuane kifuniko cha utamu

Hata kwenye maisha ya kawaida tu, kama una rafiki hakikisha hamvuki mipaka...nilikuwa na rafiki tuna 13yrs ya urafiki akaja kunikopa mwaka jana na ndo urafiki ukaishia hapo hakuwahi kunirudishia laki 5 yangu kaniblock everywhere dah
 
Mgawe kwa secretarybird mtu mBad maana analalamika kuwa pacha wako kamfanyia umafia aliweka 5-4-1 jitihada na mbinu za secretarybad zote zikakwama ikabidi aendelee kuwafukizia wakina BICHWA KOMWE - tu
View attachment 3582306
Ujue umesababisha kila nikimuona huyu jamaa naangua kicheko tu. 🀣🀣

Juzi kaniquote sehemu akaniwekea hizi emoja za πŸ’ͺπŸ’ͺ ndo nikazidi kucheka. lol.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] uduguuuu, kuna nini pande hizii??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…