Ukitaka mdumu urafiki JF, msivuane kifuniko cha utamu

6yrs now tangu tuanze kuwasiliana PM badae tukahama piemuni
Wakanichokozea rafiki angu hadi akala life ban
Nakupenda dada Lenie
πŸ˜‚πŸ˜‚
Now tunalisongesha nje na jf πŸ˜‹πŸ₯°
Nisaidie kunisamilia Lenie ✌️
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwenye bunge lao kuna mmoja kauliza eti kwani bwanaake lamomy nani JF nimchukulie 😹😹😹

Sasa namwambia hivi yeye yule waliyemtajia sio bwanaangu atajichosha kugawa hiyo community papa yake bure… asubiri kuna mwamba namfikiria sema sasa sijui kama atamkubali jinsi alivyo na manguo yake na ule ubonge kama kiboko yeleuwiiiiiiiii..!! 🀣

Anataka kufanya kisasi kwa kutumia mcumer wake hii nayo kali alooo..!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mbona heka heka mjinii JF hapatuliiii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…