James Matamgazo
Member
- Mar 25, 2026
- 12
- 26
Siku hizi imekuwa kawaida kushuhudia vijana wa miaka 20 wanapata vipara.
Na changamoto kubwa ni muda wanaotumia kwenye simu.
Mwanga wa "Blue Light" ndio chanzo kizima cha wewe kupoteza nywele zako.
Neno la kisayansi linaitwa "Energetic Alopecia"
Huu mwanga unatengenezwa na Taa za LED.
Na screen za Smartphone zote duniani.
Kusave muda sitaingia deep kote huko. Tumia google.
Kama umeanza kupoteza nywele fanya haya. Kama tayari una kipara. Ignore huu uzi.
1. Hakikisha unapunguza muda unaotumia kwenye simu mida ya usiku. Mwanga wa blue wa simu ndio changamoto nzima inaanza hapo.
2. Hakikisha kila siku unalala saa 4 kamili usiku. Nywele huwa zinaota kuanzia 10pm - 2am. Ukikosa hii window sahau nywele kurudi.
3. Hakikisha unaacha kula vyakula vya wanga. Mfano wali. Ugali. Chapati. Maandazi. Chakula chako kiwe NYAMA. SAMAKI. na MATUNDA.
4. Hakikisha JUA La asubuhi (dk 30) Jua la mchana (dk45) na Jua la jioni (30mins) linagonga macho na kichwa KILA SIKU.
5. Usivae KOFIA ya aina yeyote
6. Ondoa simu zote. Na vifaa vya Elekroniki chumbani kwako wakati unaenda kulala usiku
7. Tumia filter NYEKUNDU kwenye simu. Google jinsi ya kubadilisha kioo cha simu kuwa na filter nyekundu.
8. Ukienda kulala usiku hakikisha TAA zote za nyumba umezima. GIZA liwe nene tii.
• Suluhisho ni kuhakikisha JUA linagonga kichwa Asubuhi, Mchana, Na Jioni.
• Badilisha mfumo wa chakula unaokula kila siku
• Hakikisha unazima taa zote nyumbani mida ya usiku
• Ondoa vifaa vyote vya elektroniki unapoenda kulala usiku
- Sahau kabisa kutumia simu baada ya saa 4 usiku
Ukitekeleza yote yalioandikwa hapo juu. Ndani ya miezi 6 nywele zitarudi.
Maamuzi ni yako.
PS. Usijiloge ukatumia Minoxidil au Finasteride. Utapoteza nguvu za kiume zote! Fanya vitu NATURAL nywele zitarudi.