Mbona wazee wa zamani walikuwa hawatumi simu lakin utakuta wanavipara je hiyo ilichangiwa na nini..?
1. Wazee wa mwaka gani?
2. Na wanaishi kwenye nyumba ya aina gani?
Nenda kijijini. Tafuta mzee yeyote yule.
Ambaye nyumba yake haina LED LIGHT. Nyumba yake ni mishumaa au giza nene.
Nitafutie mzee mmoja kwenye mazingira hayo ambaye ana kipara.
Baada ya hapo rudi Dar. Au mji wowote "modern".
Chunguza mazingira ya TAA ya kwenye nyumba ya hao wazee.
Utagundua wengi nyumba zao zinatumia taa za LED.
Inayotengeneza BLUE LIGHT.
BLUE LIGHT inatengenezwa KWA WINGI na simu.
Unakuta mtu yupo kwenye simu mpaka saa nane za usiku.
Na chumba chake kina WIFI (Ambayo inatengeneza nnEMF)
Nywele zitaondoka tu.
Point ni hii hapa:
MWANGA un-natural ndio CHANZO cha matatizo yote ya kiafya na matatizo ya vipara.
Imethibitishwa kisayansi.
Google Energetic Alopecia. Soma huo utafiti.
Kufix hiyo ishu unahitaji mwanga wa JUA.
Asubuhi. Mchana na Jioni.
Na ukiwa unaenda kulala nyumba yako iwe GIZA nene.
Umeshawahi kujiuliza kwanini hakuna ombaomba mwenye kipara?
Hata awe mzee vipi?
Muda wao wote wako nje.
Muda wao wote miili yao inapigwa na JUA kali.
Na ikifika usiku wanalala nje kwenye GIZA nene.