GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Naweka hapa nukuu niliyoambiwa na mmoja wa mjumbe wa kamati yao maalum ya unyangindo (uchawi) juu ya kupendelewa kwoo jana na Mwamuzi (Referee) hadi kushinda kwa janja janja sana.
"GENTAMYCINE baada ya watu kutushtukia kuwa tulikuwa na tuhonga wachezaji au benchi zima la ufundi, hivi sasa tumeamua kuwa tunahakikisha tunamroga mno Mwamuzi ili ajichanganye kimaamuzi na ajikute anatubeba na kamwe tusifungwe hata mchezo mmoja", amesema mjumbe mwandamizi wa kamati hiyo.
Hii taarifa GENTAMYCINE niliipata kama mwezi hivi umepita ila nikaipuuza, lakini baada ya leo kuhakikishiwa na mmoja wao (katika kamati) hiyo husika.
Unaambiwa tokea Alhamisi ya wiki hii walipolijua tu jina la Mwamuzi aliyewabeba jana, upesi sana walitafutwa waganga na masheikh na kuwekwa eneo moja ili wapige dua dhidi ya Mwamuzi (Referees), ambayo ilizaa matunda na Klabu ikafaidika na matokeo yale.