Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Wakati vita na mauaji yanashika kasi kule Gaza, viongozi wa dini, viongozi wa kisiasa na waafrika walichukua upande, kutoa neno na kuomba. Vivyo hivyo hivyo wakati mambo yakishika kasi zaidi kule Ukraine.
Sasa ngoma ipo hapo DRC, vita inapigwa haswaa, lakini watu wale wale hawataki kujigusa, utadhani hayatuhusu.
Hii ni laana kwa 100%.
Sasa ngoma ipo hapo DRC, vita inapigwa haswaa, lakini watu wale wale hawataki kujigusa, utadhani hayatuhusu.
Hii ni laana kwa 100%.