CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Isha wahi kukutokea una shamba au unafuga kuku au una Duka au una miliki basi la Usafiri au Mradi wowote ule.
UKO UNAFUGA KUKU
Unafuga kuku labda layers au Broiler na unawafanya kazi wawili au watatu ndo wasimamizi sasa inatokea hasara kubwa mno kuku wamekufa kwa ugonjwa au wameibiwa.
Unafika shambani au kwenye mabanda yaani binafisi unatamani hata kujiua ila ukiangalia nyuso za Wafanya kazi ziko sawa sawa.
Huna hamu na Chakula kabisa ukikumbuka hasara ila wafanyakazi wanapiga msosi kama kawaida kabisa na wanafuraha.
Tena cha kushangaza wanaomba pesa yaani na hasara iliyopo wanaomba pesa.
HAPO SASA NDO UJUE WEWE NDO MWENYE IDEA.
Pia shambani umeotesha mazao yamenyauka au yamezidiwa maji au wanyama waharibifu wamekula unapigiwa simu na Shamba boys kwamba mazao yako yamepatwa na ugonjwa wa ajabu.
Unafika Shambani kukagua unakutana na hasara ya kutisha ila ukiangalia wale wafanyakazi wako normal kabisa tena wakati unaenda wana kusisitizia unende na Unga au uwapelekee pesa.
Kwa kifupi Mwenye Uchungu na Biashara ni yule mwenye Idea na wala sio wasimamizi ma hata kama wangekuwa waaminifu still haisiadii bali wewe ndo mwenye Uchungu.
Sent using Jamii Forums mobile app