Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Ndio kila siku unavitumia hivyo vyakula Mkuu.Hivyo vitu vyote unatumia kwa pamoja kila siku au ??
Piga hiyo ya 5 uncle..Unakuwa umemaliza kila kitu..Halafu ni cheap..Hata mpekunyazi wanaimuduHivyo vitu vyote unatumia kwa pamoja kila siku au ??
Asante mkuu kama ni hivyo basi mlo huo sio rafiki sana wa maskiniNdio kila siku unavitumia hivyo vyakula Mkuu.
Teh teh Kaboom ndio maana nikamuuliza hivyo vitu unavipiga vyote deile ukizingatia ukata wa pesa tena bora ni deal na lita tatu za majiPiga hiyo ya 5 uncle..Unakuwa umemaliza kila kitu..Halafu ni cheap..Hata mpekunyazi wanaimudu
Yeah..Bora dokta ametupa options nyingi aisee..Teh teh Kaboom ndio maana nikamuuliza hivyo vitu unavipiga vyote deile ukizingatia ukata wa pesa tena bora ni deal na lita tatu za maji
Kula Kitunguu Saumu pamoja na Maziwa na pia ukimaliza kula kitunguu saumu kula punje 4 za hiliki au punje 4 za Karafuu au kula tango moja linakata harufu ya kitunguu saumu Au kunywa maji ya Uvugvugu glasi 3 asubuhi inakataka harufu ya Kitunguu saumu.Tatizo kitunguu swaum kinaacha kinywa na harufu Kali sana mkuu
Hakuna namna ya kuzuia harufu
Tatizo kitunguu swaum kinaacha kinywa na harufu Kali sana mkuu
Hakuna namna ya kuzuia harufu
Hata mimi hio harufu yake ilinishinda...halafu unakuwa hauko comfortable na wenzako ofisini...mara bigG haitoki mdomoni ilimradi karaha tu..nikaacha. kama ndugu mzizimkavu akipita hapa atupe msaada jinsi ya kutoa hio harufu ya kitunguu saumu