Mkuu shukrani sana, ila naomba kuuliza, hizo punje za kitunguu saumu unatafuna au unameza bila kutafuna?
Kwani vikubwa vina nini?Unameza bila kutafuna!? Basi zitakuwa dawa hizo!!!.
Tafuna kuchukuchu ndo umeze. Na tumia zile punje ndogo ndogo. Usitumie yale matunguu makubwa.
.
Punje mbili kwa vidogo sawa.Kwani vikubwa vina nini?
Kama ni ukali, vidogo vinaweza kuwa vikali kuliko vikubwa.
Kula kavukavu huwezi aisee, unakaa kusukumia na maji au juice
Ukitafuna asubuhi mdomo utanuka vitunguu tu hadi kero.Kwani vikubwa vina nini?
Kama ni ukali, vidogo vinaweza kuwa vikali kuliko vikubwa.
Kula kavukavu huwezi aisee, unakaa kusukumia na maji au juice
Sasa mkuu, hilo liko wazi kabisa kabla hata hujala. Lol. Pole kwa kunukisha watu harufu ya vitunguu HahahaUkitafuna asubuhi mdomo utanuka vitunguu tu hadi kero.
Watu watakuona kama huna dawa ys meno.Sasa mkuu, hilo liko wazi kabisa kabla hata hujala. Lol. Pole kwa kunukisha watu harufu ya vitunguu Hahaha
Mkuu hiyo ni dalili ya kwamba hunywi maji ya kutosha. Yaani ukinywa hata glasi moja tu lazima uende kukojoa, ila ukianza kunywa maji mengi kila siku na yakakuzoea utakunywa lita nzima na kukaa hata masaa matano bila kwenda kukojoa.Tatizo nikinywa maji mengi kwa mara moja mkojo unasumbua balaa kila dk chooni
We nawe. Si tushafahamishwa tufanye nini ili kukata harufu.Ukitafuna asubuhi mdomo utanuka vitunguu tu hadi kero.
Mmhu. Pale mwanzo lazima upate shishii kdg. Na ndo inavotakiwa haswaa ili upate uflash masumusumu mwilini. So ni vizuri upate shishii walau mara 3 baada ya kunywa maji ya asubuhi. Na inashauriwa unywe glass 2 mpk 1 ltr inategemea na mtu anavoweza.Mkuu hiyo ni dalili ya kwamba hunywi maji ya kutosha. Yaani ukinywa hata glasi moja tu lazima uende kukojoa, ila ukianza kunywa maji mengi kila siku na yakakuzoea utakunywa lita nzima na kukaa hata masaa matano bila kwenda kukojoa.
Yah kwa asubuhi lazima ukojoe baada ya kunywa maji ili kusafisha mwilj, ila baada ya hapo unaweza kukaa masaa mengj bila kujihisi kutaka kujisaidia.Mmhu. Pale mwanzo lazima upate shishii kdg. Na ndo inavotakiwa haswaa ili upate uflash masumusumu mwilini. So ni vizuri upate shishii walau mara 3 baada ya kunywa maji ya asubuhi. Na inashauriwa unywe glass 2 mpk 1 ltr inategemea na mtu anavoweza.
magonjwa ya zinaa hayo.Sawa tunashukuru kwa msaada huu,ila mtu ambae mkojo wake unakuwa unatoa harufu saana.
Je tatzo ni nin?
Kumbuka hatumii pombe
Kifo hakizuiliki wakati uko njiani kwenda kununua ndimu unaweza ukagongwa na gari