Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Ambao mjasafiri na mnataka kusafiri niwajulishe wenzetu kodi yao ni rafiki sana na inakwenda sawa sawa na utofauti wa vipato na hakuna mtu anaweza kulalamika.
sio hapa tanzania bar ya mtaani inauza bia 1500 alafu bar nyengine anauza 3000 leseni sawa.
Wenzetu kodi zao unaona kabisa imetenda haki kwenye huduma na mambo mengine sio hapa unaingia stendi unalipa na chooni unalipa unakuta mazingira mabovu huduma mbovu.
Kodi za wenzetu inakwendana na maisha yako jinsi unavozidi kuwa na maisha mazuri.ila huku kodi ya jengo lilopo masaki,kariakoo linakodishwa malioni ya pesa ila ikifika kwenye makato ya umeme kama kawaida mnahesabiwa kodi sawa na wa mbagara mtongani kwenye luku.
kodi za wenzetu kuna vitu ambavyo ni msaada kwenye jamii kama elimu,kompyuta,tafiti,vyuo na wakulima ni ndogo sana na zinaweza kuwa azipo sana ila huku kwetu ukileta kontena la vifaa vya walemu unaweza kuliacha bandarini kwa waarabu wa DP world.
Kodi za wenzetu kuhusu wekezaji,riba na biashara zipo makini na zinasimamiwa sana ndio maana wenzetu wana mikopo mizuri na rafiki.ila huku kodi ni kubwa mpaka wawekezaji wanaona na wao wapige gharama kubwa.
welcome tanzania