Ukitamka umaanishe

Ukitamka umaanishe

Kimwakaleli

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2018
Posts
7,755
Reaction score
11,737
Habari wana Jamii Forums,

Nilikulia na kulelewa na bibi yangu mzaa mama, hapo wengi watdhani ni mtoto wa nje!

Nilikuwa mjukuu wa kwanza kwao, tena jembe! Alinufundisha mengi sana na ndio ninayaishi. Mfano mtu anakaribishwa kula anajifanya kashiba! Mwenye chakula anamuhimiza amege hata tonge moja tu kutia baraka.

Matokeo yake anakubali kula cha kuchangaza anakula mwanzo hadi mwisho. Tonge hadi tonge. Noma washikaji.
 
Ngoja nipige mawili matatu... hpo ndio Utajua hujui hsa kwa zile karibu zetu za majaribio
 
Back
Top Bottom