BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,532
- 14,164
Ni kwa mujibu wa katibaKwa nn maofisa wa police wa Tanzania wanakuwa na bodyguard?
Katiba ya mama yako sio?Ni kwa mujibu wa katiba
Mwamba hajiamini kabisa Kwanza nyuma yake ako na mpambe ili akianguka asaidiwe.Sijaona tatizo, Labla mnionyeshe Nyie
Wabongo Acheni nongwa za ajabu.Mwamba hajiamini kabisa Kwanza nyuma yake ako na mpambe ili akianguka asaidiwe.
Pili anapenda sifa mpambe WA nini na wewe NI igp
Ya bodyguard wa Rau MadukaniKatiba ya mama yako sio?
SASA hata hivyo Yule mpambe uwa Hana kazi yoyote .Wabongo Acheni nongwa za ajabu.
Bc rais nae asiwe na mpambe mana n amri jeshi mkuu
Ibara gani?Ni kwa mujibu wa katiba
UmwinyiKwa nn maofisa wa police wa Tanzania wanakuwa na bodyguard?
Wengine hawana ila, Kagame usha muona na mpambe? Hii Maraisi wengi hawanaWabongo Acheni nongwa za ajabu.
Bc rais nae asiwe na mpambe mana n amri jeshi mkuu
Ukiona ulinzi mkubwa ujue usalama ni mdogo.Kwa nn maofisa wa police wa Tanzania wanakuwa na bodyguard?
Ulanzi mtupu weweYa bodyguard wa Rau Madukani
Sisi ni kisiwa cha amani😁Kwa nn maofisa wa police wa Tanzania wanakuwa na bodyguard?
NDIO UJUE ALICHOANDIKA MWANDISHIKwa nn maofisa wa police wa Tanzania wanakuwa na bodyguard?
Ipi?Ni kwa mujibu wa katiba