Sio ya nchi hiiha ha! bangi mpya hii
Kukimbia naye maana yake umempa mimba. Adhabu yake ni kutuma matumizi kwa mama na mtoto ukiwa jela. Utapata wapi fedha, utajiju! Itabidi maafande wadunde 0713....Ukikutwa unatembea na mwanafunzi miaka 30 jera, sasa najiuliza Ukikutwa unakimbia nae itakuwa miaka mingap??
mwenye jibu tafadhali nijuze