Ukitenda wema leo hii, wema huo unaweza usikulipe wewe ila ukawalipa watoto au wajukuu zako

Nime
Nimejihisi kusisimuka mwili
 
Chief uko tanga unalipiwa afu unakubali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Infantry umenikumbusha mengi mno mkuu
 
Wema ni akiba,wema ni mtaji na wema pia hauozi. Kutenda wema hakuna gharama yoyote na unaweza kukufaa baadae japo sio "mandatory". We tenda wema na uende zako wala usingoje shukrani. Kwa uchache,Wahenga ndio huelezea hivyo kuhusu wema
 
Hadithi inatufundisha kutenda wema siku zote kwa maana ukitenda ubaya utakurudia katika namna ambayo itakushangaza sana.
 
So interesting
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…