Ukitoa miaka 20 katika umri wako utakuwa na miaka mingapi!?

Ngoja nikatafute kahawa kwanza maana hesabu sio rahisi

Sent using Jamii Forums mobile app
magazijuto hapo, mambo ya vipeo na vipeuo lazima yawe karibu karibu.
usiulize maswali yanayohitaji hesabu kama hujui hesabu.hesabu za ankra unazijua lkn au unaulizauliza tu mambo ya kihesabu huku hujui hata rangi ya kitabu kiitwacho hesabu za kikwetu.
 
[emoji22]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom