Ukitoa namba ya simu na usipotafutwa potezea; amekuepusha kwenye matumizi ya ovyo

Hata mimi nimemshangaa jamaa,yani utoe namba kwa pisi kali afu usitafutwe ushukuru!!! mwaka jana kuna mtoto wa kizungu nimekutana naye Hotelini nikampa namba hajanitafuta mpaka leo
hii inaniuma sana
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Problem ya wanaume wengi these days hawana cha ziada. Kuomba namba ni kama utaratibu. Akimuona tu mtoto mzuri chaaap ameshaanza kuomba namba, tena hasa hasa wenye iphone hua wanapenda sana kujionyesha.
Ukiomba namba af usitafutwe jua kabisa wewe ndo ulikosea kwenye hatua za mwanzo. Umekutana na mwanamke, both of you are strangers to each other, ili aendelee kukutafta lazma kuwe na kitu alichokifurahia mwanzoni so atakutafta ili aone kama kuna vinginevo.
Narudia kusema, kila mwanamke ana gia ya kumwingia, ukienda kienyeji kama kila mtu, you wont stand out hivyo chances zako zinapotea na unaishia kuwalaumu kua wanaringa.
Grow up!
 
Towa ela acha porojo, hasa kipindi hiki cha recession hela inalipa.
 
SAHII KABISA,
Vijana Wamezubaa mno[emoji4]
 
Ata Kama lkn hutoweza kumpata kila unaemuhitaji
 
Mkuu tupe mrejesho na my wako Mama J.
 
Nakusoma
Sasa wale wa viwango vya juu classic wanapatikana wap maana uku uswahilini ni adimu sana
Wanawake Ni wanawake TU,
Hapa haliongelewi suala la uchumi.

Hata uku uswahilini wanwake classic wapo, ila jins walivyo wako tofauti Sana na Hawa tuliowazoea.

Ni suala husika la wee mwenyewe kua makini kupoint[emoji4]
 
Hakika mkuu. Pina muuza glocery nilimpa namba hakunitafuta kabisaa. Nikipita kumkumbusha bado hapigi mpaka nikaanza kujisikia vibaya,najishangaa watoto wanvyonishobokea hivi huyu demu anapoteza habati.
Siku moja nikamkuta kwa wakala jirani hako, alipoondoka tukaanza kumdiscuss. Wakala akaniambia mshukuru Mungu kwa hilo,yule demu ana shida ya homa ya ini pengine kakuonea huruma kukuambukiza ☹☹☹☹
Baada ya hapo nilienda kupima na kuchanja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…