Ukitoboa Tanzania, nchi yoyote ile utatoboa

Ukitoboa Tanzania, nchi yoyote ile utatoboa

magnifico

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2013
Posts
11,075
Reaction score
24,634
Vijana wenzangu nawaambieni mkiona kijana amefanikiwa kwenye kile unachofanya inabidi umheshimu sana. Hii nchi ngumu sana. Wachawi wengi sana. Naamini kama vitendea kazi vingekuwa vinapatikana kwa urahisi basi huko Air Gamboshi zingekuwa nyingi kuliko Bombardier za Rais Magufuli.

Nenda Jukwaa la Michezo muda huu uone sala za baadhi ya Watanzania wenzetu kwa Mbwana Samatta. Inasikitisha sana.
 
😂😂 Umenikumbusha Huwa ninapenda kujichanganya na watu waliofanikiwa kwenye Biashara zao Sehemu nilipo Kila mtu ananiambia Dogo Kwa babu lazima Usiponiona mjini Jua nimeenda kurenew/kuchukua zindiko maana wachawi wengi, Hata wale unaowaona mstari wa mbele Kanisani Maneno yao ni kama Wenginetu.

Natamani watoe shuhuda pia wafanya biashara wengine Hapa Ambapo hawajulikani

Siamini Uchawi Ila wananitisha sana Hadi naogopa kuwekeza
 
Vijana wame-graduate kwa wingi lakini ni ma jobless huko mtaani. Wengine wazazi/ndg zao/wao wenyeww walitumbuliwa kwny like sakata la vyeti.

Wengine ajira zimesitishwa/Co. haIja renew contracts na mfanyakazi akienda kufuatilia mafao yake jibu ni hakuna kupewa pesa zako mpk ufike 55 yrs.

Ukistaafu tena mafao kulipwa sio leo wala kesho.In short mambo mengi

Kifuatacho tunageuka kua ma-sadist tu.

Unadhani watu wenye shida zote hizo nilizozotaja hapo juu watafurahia vipi mafanikio ya dogo Samatta Wkt wao maisha yao hali ni tete?Hakuna namna zaidi ya kumchawia dogo tu.

dodge
 
Natafuta funding welding! Nina vifaa vyooote vya kazi na niko sehemu nzuri inapitiwa na barabara. Makazi bado mapya watu wanajenga. Eneo la Kiluvya - Makurunge karibu na Kibaha. Njooo na utaalamu wako utajifunzia kazi na jinsi ya kutafuta masoko kwangu. Njoo PM kama unahitaji
 
Back
Top Bottom