magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 11,075
- 24,634
Vijana wenzangu nawaambieni mkiona kijana amefanikiwa kwenye kile unachofanya inabidi umheshimu sana. Hii nchi ngumu sana. Wachawi wengi sana. Naamini kama vitendea kazi vingekuwa vinapatikana kwa urahisi basi huko Air Gamboshi zingekuwa nyingi kuliko Bombardier za Rais Magufuli.
Nenda Jukwaa la Michezo muda huu uone sala za baadhi ya Watanzania wenzetu kwa Mbwana Samatta. Inasikitisha sana.
Nenda Jukwaa la Michezo muda huu uone sala za baadhi ya Watanzania wenzetu kwa Mbwana Samatta. Inasikitisha sana.