😂😂 Umenikumbusha Huwa ninapenda kujichanganya na watu waliofanikiwa kwenye Biashara zao Sehemu nilipo Kila mtu ananiambia Dogo Kwa babu lazima Usiponiona mjini Jua nimeenda kurenew/kuchukua zindiko maana wachawi wengi, Hata wale unaowaona mstari wa mbele Kanisani Maneno yao ni kama Wenginetu.
Natamani watoe shuhuda pia wafanya biashara wengine Hapa Ambapo hawajulikani
Siamini Uchawi Ila wananitisha sana Hadi naogopa kuwekeza