Ni Askari JelaBila shaka you're talking with experience "
Sasa mbona ndiko wanataka kumpeleka amber rutty?!!Picha hii itakusaidia uwe motivated kuwa mtu anayefuata sheria popote ulipo. Ni hayo tu. Tafakari
View attachment 911888
.......talking FROM experience.Bila shaka you're talking with experience "
Wewe jamaa ushawahi anzisha mada hum kufafanua mambo mbalimbali yatokeayo jela na ukasema mambo ya ufiraj jela utake mwenyewe tu sasa leo unakuja na mpya.Picha hii itakusaidia uwe motivated kuwa mtu anayefuata sheria popote ulipo. Ni hayo tu. Tafakari
View attachment 911888
Unaweza ipakia (upload) jukwaani?Kuna documentary moja ya jela za kenya zilivyobadili watu ujinsia wao inasikitisha sana ukiiangalia
Hata wafumuaji wakitoka nao wanakuwa hivyo hivyo?Picha hii itakusaidia uwe motivated kuwa mtu anayefuata sheria popote ulipo. Ni hayo tu. Tafakari
View attachment 911888
Acha awapelekee wazibujiSasa mbona ndiko wanataka kumpeleka amber rutty?!!
hiyo ni tafsiri yako kuhusu huo mchoro.....mtu akiingia jela huwa na mambo machache ambayo anayajua lakini akitoka huko anakuwa na mambo mengi sana ambayo amejifunzo huko na wengine hata kumaliza elimu ya chuo kikuu akiwa jela....tatizo letu na kila kitu kifikiria negative tu au hasi tuWewe jamaa ushawahi anzisha mada hum kufafanua mambo mbalimbali yatokeayo jela na ukasema mambo ya ufiraj jela utake mwenyewe tu sasa leo unakuja na mpya.
Wanamsema fiancee wa prezidaaBila shaka you're talking with experience "