Ukitoka Jela utakuwa hivi

Ukitoka Jela utakuwa hivi

tatum

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
5,786
Reaction score
4,491
Picha hii itakusaidia uwe motivated kuwa mtu anayefuata sheria popote ulipo. Ni hayo tu. Tafakari
1f60a.png

Dqb3PbbWoAcf-kw.jpg
 
Kuna documentary moja ya jela za kenya zilivyobadili watu ujinsia wao inasikitisha sana ukiiangalia
 
Wewe jamaa ushawahi anzisha mada hum kufafanua mambo mbalimbali yatokeayo jela na ukasema mambo ya ufiraj jela utake mwenyewe tu sasa leo unakuja na mpya.
hiyo ni tafsiri yako kuhusu huo mchoro.....mtu akiingia jela huwa na mambo machache ambayo anayajua lakini akitoka huko anakuwa na mambo mengi sana ambayo amejifunzo huko na wengine hata kumaliza elimu ya chuo kikuu akiwa jela....tatizo letu na kila kitu kifikiria negative tu au hasi tu
 
Back
Top Bottom