Ukitoka mshahara tushituane haraka. Sio kwa Januari hii

Ukitoka mshahara tushituane haraka. Sio kwa Januari hii

Ifike hatua watumishi wa umma..muanze hata kupiga deiwaka..ukitoka kazini piga deiwaka ya bodaboka au ukonda wadaladala..sa8 usiku unarudi kulala una vichenji vyako..

#MaendeleoHayanaChama
Itakuwa Vita Ya Nane Ya Dunia.
 
Ifike hatua watumishi wa umma..muanze hata kupiga deiwaka..ukitoka kazini piga deiwaka ya bodaboka au ukonda wadaladala..sa8 usiku unarudi kulala una vichenji vyako..

#MaendeleoHayanaChama
,🤣🤣🤣🤣
 
Mkuu ile kampeni yako ya kipindi kile huna ajira ya watumishi wa umma wafanye kazi kwa muda maalum let say 5years contract halafu watemwe ili wengine waajiriwe bado unao?
Hahaahhaha Ila kampeni Sina Tena kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake
 
Back
Top Bottom