Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Mtumishi mpumbavu.Hello!
Leo bila shaka mshahara kwa watumishi wa umma utaingizwa kwenye akaunti zao.
Sasa sisi wa CRDB mzigo unachelewa kidogo, basi nyie wa NMB mkiuona mnishtue haraka ili nivae suti yangu nikachukue nijipongeze.
Naunga mkonyo, hao ni wapumbavuMtumishi mpumbavu.
Itakuwa Vita Ya Nane Ya Dunia.Ifike hatua watumishi wa umma..muanze hata kupiga deiwaka..ukitoka kazini piga deiwaka ya bodaboka au ukonda wadaladala..sa8 usiku unarudi kulala una vichenji vyako..
#MaendeleoHayanaChama
Katika Kulijenga Taifa.Mwezi uliopita mlipewa 22 mkanogewa..hahaha ilikuwa offer ya sikukuu TU mwezi huu 23/24 ili January iwe na maana kazi iendelee hatima ya Tanzania iko mikononi mwenu.
,🤣🤣🤣🤣Ifike hatua watumishi wa umma..muanze hata kupiga deiwaka..ukitoka kazini piga deiwaka ya bodaboka au ukonda wadaladala..sa8 usiku unarudi kulala una vichenji vyako..
#MaendeleoHayanaChama
OG dingi nikopeshe basi box moko mkeka ukitiki nikulipe.Mshahara umetoka wakuu tumieni vzr
Yeah jana jioni!Mshahara umetoka wakuu tumieni vzr
Me nimeipata Leo saa naneYeah jana jioni!
Ngoja niangalie pia.Ngoja niangalie huku kama wameanza kunywa balimi na safari kwa fujo!
Kumbe mnapewaga hadi posho???, Hongera zenu.Ngoja niangalie pia.
Jana nimeangalia sijui mara ngapi nikakutana na posho jioni
Mkuu ile kampeni yako ya kipindi kile huna ajira ya watumishi wa umma wafanye kazi kwa muda maalum let say 5years contract halafu watemwe ili wengine waajiriwe bado unao?Me nimeipata Leo saa nane
Hahaahhaha Ila kampeni Sina Tena kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yakeMkuu ile kampeni yako ya kipindi kile huna ajira ya watumishi wa umma wafanye kazi kwa muda maalum let say 5years contract halafu watemwe ili wengine waajiriwe bado unao?