Ukitoka mshahara tushituane haraka. Sio kwa Januari hii

Boda boda wakavunjike miguu?
hyo kazi ya boda boda nitakuwa wa mwisho kuja kuifanya
Ifike hatua watumishi wa umma..muanze hata kupiga deiwaka..ukitoka kazini piga deiwaka ya bodaboka au ukonda wadaladala..sa8 usiku unarudi kulala una vichenji vyako..

#MaendeleoHayanaChama
 
Boda boda wakavunjike miguu?
hyo kazi ya boda boda nitakuwa wa mwisho kuja kuifanya
Sawa ila ndio inayowapa watu maisha..je mabodaboda wote wamevunjika miguu...ajali ni popote unaweza ukawa unashuka ngazi za hapo halmashauri ukaanguka na kuvunjika miguu au kiuno na usiweze pona.

Bt point hapa na kuongeza kipato..sio kukaa kusubiri mshahara.

#MaendeleoHayanaChama
 
CRDB bado hatujauona mwezi . Washkaji zangu wa NMB jana jioni washashikishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…