Tajiri Mnyenyekevu
Member
- Jan 17, 2013
- 8
- 18
Kuwa na amani, unaweza kuachiwa hata huru kutegemea na utetezi wako.Napenda kujua kama umetokea ugomvi kati ya wanandoa ikatokea mmoja wao kapatwa na umauti bila kusudia.
Je, taratibu gani zitafata kisheria?
Je, aliyehusika anaweza kupunguziwa adhabu ya kifungo cha maisha?
nimependa ulivyoanza kuelezea tatizo.Napenda kujua kama umetokea ugomvi kati ya wanandoa ikatokea mmoja wao kapatwa na umauti bila kusudia.
kama walikuwa wanapigana na mmoja akafariki kutokana na mapugano hayo japo siyo kwa kukusudia(hata kama ni wanandoa) basi moja kwa moja atashtakiwa kwa kosa la kuua(murder)ambapo serikali itaandaa hati hiyo ya mashtaka na taratibu za kisheria zitafuatwa,ila pia anaweza kushtakiwa kwa kosa la Kuua kwa kukusudia sababu hakuwa na nia (Motive) ya kumuua ,mwenza wake hivyo nijukumu la upande wa utetezi kuja na ushahidi imara na thabiti zenye kutoa utetezi ili shitaka liweze kupungua adhabu kutoka kuua kwa kukusudia kwenda bila kukusudia.Je, taratibu gani zitafata kisheria?
Je, aliyehusika anaweza kupunguziwa adhabu ya kifungo cha maisha?
Uzuri Tanzania hukumu ya kunyongwa haitekelezwi.Uzuri ni kwamba unafahamu vyema; kuwa adhabu ya Kuua kwa kukusudia ni- Kunyongwa hadi kufa
:kuwa adhabu ya Kuua pasipo kukusudia ni- Kifungo cha maisha jela.
all the best tafuta au atafute wakili mzuri aweze kumpampani pengine anaweza kutoka.
Kesi ya jinai inategemea kama pesa ipo unachomoka faster!!Hiyo ni kesi ya jinai. Uamuzi wa kesi unategemea na ushahidi.