Tajiri Mnyenyekevu
Member
- Jan 17, 2013
- 8
- 18
Napenda kujua kama umetokea ugomvi kati ya wanandoa ikatokea mmoja wao kapatwa na umauti bila kusudia.
Je, taratibu gani zitafata kisheria?
Je, aliyehusika anaweza kupunguziwa adhabu ya kifungo cha maisha?
Je, taratibu gani zitafata kisheria?
Je, aliyehusika anaweza kupunguziwa adhabu ya kifungo cha maisha?