Ukituliza Akili yako na Kuisoma 'Press Release' ya Yanga SC juu ya 'Hukumu' ya Manara utagundua aliyekuwa Kocha Wao Luc Eymael hakukosea alipowadharau

Ukituliza Akili yako na Kuisoma 'Press Release' ya Yanga SC juu ya 'Hukumu' ya Manara utagundua aliyekuwa Kocha Wao Luc Eymael hakukosea alipowadharau

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Eti Hukumu ya Haji Manara imeathiri hadi Soka la nchi jirani hasa Burundi aliyokuwa akifanya nayo Kazi hasa ya Kupromoti Soka lao.

Wapuuzi wakubwa nyie yaani Burundi ambayo imetuacha Kimpira mpaka Makocha wao wengi tunao Tanzania wamtegemee Haji Manara Kuuendeleza Mpira Wao?

Eti ni Hukumu Kali na ya Kumuonea hivi Haji Manara alipoichafua Simba SC na nchi kwa Kuziambia Timu ngeni kuwa zikija Kucheza na Simba SC Tanzania wawe makini wanaweza Wakafa kwa Sumu hapa alikuwa sahihi hata kwa Usalama wa Taifa / Nchi? Wapuuzi na Wanafiki wakubwa nyie.

Hivi hii nguvu Kubwa mnayoitumia Kumtetea Haji Manara na Maupuuzi yake yasiyovumilika mngeitumia katika Kumuasa au Kumuonya au Kumuongoza vyema yangefikia hapa? Hamna Akili kabisa nyie.

Ndiyo maana hata aliyekuwa Kocha wenu Mkuu Luc Eymael ( Raia wa Ubelgiji ) alisema ( ipo YouTube ) kuwa Watu wa Yanga SC ni Nyani, Sokwe na Mbwa kutokana na Ulemavu wenu wa Akili.

Lakini hata huyu huyu Mhamasishaji na Msemaji wenu mnayejitutumua Kumtetea Kinafiki hapa Haji Manara alipokuwa EFM katika Mahojiano nao alisema kuwa Yanga SC yote ( nzima ) wenye Akili Timamu ni Watu Watatu tu Mama Karume, Rais Mstaafu Kikwete na Baba yake Mzazi Mzee Manara na waliobakia Wote wana Akili za 'Kipa Katoka' tupu tu.

Si mmeahidi Kumsaidia katika kukata Rufaa? Sasa nawaibieni Siri kuwa mkiikata tu na TFF nao wanajiandaa Kuipinga hiyo Hukumu ya Jana kuwa ni Ndogo na pia tayari Rais wa TFF nae anawasikilizia mkate tu hiyo Rufaa yenu ili nae aende Police Kumshtaki Haji Manara kwa Kumtishia Maisha kuwa 'atamkoma' na 'atamuonyesha' ambapo Ushahidi upo na sasa itakuwa ni Criminal Case na hatotoka.

Press Release yenu ni ya Kiboya mno.
 
Nimewapenda Sana wasafi FM walipokataa kulijadiili hili swala la huyu jamaa,hawajataka kabisa kumpa airtime. Tena Edo akagongelea msumari aliposema "siasa za Mpira zipo duniani kote,wala hakuna Jambo jipya hapo Kwa kilichotokea,tujadili goli la sacko na kiatu chake"
 
Luc Eymael alikuwa sahihi kuwaita nyani. Nyani ni nyani tu hata avae suti atabaki kuwa nyani.
IMG-20191111-WA0001.jpg
Screenshot_20201103-091628.jpg
 
Nimewapenda Sana wasafi FM walipokataa kulijadiili hili swala la huyu jamaa,hawajataka kabisa kumpa airtime. Tena Edo akagongelea msumari aliposema "siasa za Mpira zipo duniani kote,wala hakuna Jambo jipya hapo Kwa kilichotokea,tujadili goli la sacko na kiatu chake"
Leo nimemuona Edo kumbwembe MTU alie natured

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Edo alichokiona ni mambo ya kihuni na anaelewa walichofanya Tff ni uhuni Kwaiyo amechagua kutoliongelea kwakua akiongea ukweli Tff wata jisikia vibaya.
 
Tatizo la manara kutoka Simba akajenga uadui wakati tayari alikuwa ameshajenga heshima yake kubwa kwa mashabiki saizi tunamuona msaliti na mnafiki tu TFF wamefanya jambo jema.
 
Back
Top Bottom