Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 304
- 1,054
Ukikaa kwa makini na kutuliza ubongo utagundua kuwa CCM n chama kinachofaa kuwepo madarakani hii ni kutokana na mambo haya yafuatayo:
- Elimu bure
- Siasa za uwazi
- Miundombinu imara (barabara)
- Huduma bora za maji hususani vijijini
- Umeme kila mahali, na mengine mengi