Ukituliza ubongo utagundua kuwa CCM ndiyo chama kinachofaa kuwepo madarakani

Ukituliza ubongo utagundua kuwa CCM ndiyo chama kinachofaa kuwepo madarakani

Ukichunguza zaidi utagundua CCM ndio chama kinachowafanya Watanzania kuwa masikini na wajinga, na kikiondoka madarakani Taifa litakuwa limepona.
 
Ukikaa kwa makini na kutuliza ubongo utagundua kuwa CCM n chama kinachofaa kuwepo madarakani hii ni kutokana na mambo haya yafuatayo:
  • Elimu bure
  • Siasa za uwazi
  • Miundombinu imara (barabara)
  • Huduma bora za maji hususani vijijini
  • Umeme kila mahali, na mengine mengi
Ukipinga uwe na hoja au sababu kuntu.
na nyongeza ya hayo,
inchi imefunguka kweli kweli, mazingira bora na mazuri sana ya amani na utulivu, yamechochea kuimarika na kushamiri kwa biashara na masoko karibu kila mahali nchini. na hii kwa kiasi fulani imepunguza tatizo la ajira...

kipaumbele, nguvu na jitihada kikubwa kuwekwa kwenye kilimo, ufugaji na uvuvi nako kimechochea pakubwa sana mapinduzi ya nyanja hizo na kuongeza uzalishaji wa mazao ya chakula na biashara na kusaidia kupunguza upungufu wa chakula nchini, kudhibiti mfumuko wa bei za vyakula na kurahisisha upstikanaji wa malighafi viwandani....
nako kwa sehemu kubwa imesaidia kupunguza tatizo la ajira...

ulinzi na usalama wa watu, mali zao, kazi zao na mipaka ya nchi kumewavutia sana wawekezaji wa kitaifa na kimataifa kuanzisha viwanda na miradi mbalimbali ya kimkakati na kuifanya Tanzania kua eneo salama sana la uwekezaji barani Africa, chini ya serikali sikivu ya CCM, inayoomgozwa Rais makini na madhubuti sana comrade Dr.Samia Suluhu Hassan....

ama kwa hakika CCM ndio Chama Pekee Tanzania kinacho stahili kuendelea kuwako madarakani...

Asanti sana wanainchi, asanti sana waTanzania kwa kupenda na kukiamini Chama Tawala CCM...

well done Dr Mwigulu, kazi yako ya kusaidia Rais kwenye uchumi inaonekana na imetukuka...

Kidumu Chama Cha Mapinduzi 💪👊
 
Hakuna chama cha hovyo Africa kama CCM.
 
Ukikaa kwa makini na kutuliza ubongo utagundua kuwa CCM n chama kinachofaa kuwepo madarakani hii ni kutokana na mambo haya yafuatayo:
  • Elimu bure
  • Siasa za uwazi
  • Miundombinu imara (barabara)
  • Huduma bora za maji hususani vijijini
  • Umeme kila mahali, na mengine mengi
Ukipinga uwe na hoja au sababu kuntu.
Na huo mdio ukweli ndugu zangu.
 
Back
Top Bottom