Ukituliza ubongo utagundua kuwa CCM ndiyo chama kinachofaa kuwepo madarakani

Nyanda Banka

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2023
Posts
304
Reaction score
1,054
Ukikaa kwa makini na kutuliza ubongo utagundua kuwa CCM n chama kinachofaa kuwepo madarakani hii ni kutokana na mambo haya yafuatayo:
  • Elimu bure
  • Siasa za uwazi
  • Miundombinu imara (barabara)
  • Huduma bora za maji hususani vijijini
  • Umeme kila mahali, na mengine mengi
Ukipinga uwe na hoja au sababu kuntu.
 
Same old story since 1970s, amkeni vizazi vinabadilika dunia inabadilika
 
Nakukumbusha umesahau kuweka namba ya simu.
 
Ukikua utakuwa mwanga.
 
Tuna nchi ya vyura viziwi 😂
 
Tumekusikia kiluwiluwi wa chura, maana chura mwenyewe Yuko pale mjengoni.
 
Elimu bure halafu hauna elimu inauma sana
 
Hata kama hatutaki hicho chama tunampa nani kura kama mbadala? Ccm ipo madarakani sababu hakuna mbadala, Mpinzani makini mwenye sera za maana akitokea asubuhi sana anapewa nchi.
 
Haifai ilishashindwa pakubwa kama una akili timamu uwezi ikubali ccm.
 
Nyie vyura wa kihansi, punguzeni kelele. Hata ambaye dishi limeyumba hakitaki chama cha mambuzi.
 
Alivyoandika unaweza ukadhani CCM ndio chama cha Upinzani kumbe kinatawala na yanayofanyika wote tunayaona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…