Ukituma hela utume na ya kutolea

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
Joined
May 3, 2020
Posts
2,415
Reaction score
3,924
Habari za humu wajameni!? Kila kitu kipo good oke.

Wajameni naona siku hizi kuna huu msemo sio kwa wanaume wala wanawake tena kwao ndo umezidi kwamba ukituma hela utume na ya kutolea.

Sasa sijajua hiyo huduma ya ukituma utume na ya kutolea ipo katika mitandao yetu hii tunayotumia pia kama unataka kutuma mfano 20000 basi ya kutolea iwe 2000 au nasema Uongo ndugu zangu.

Note: Mniletee Mzee kagere, Mniletee Rashid, Mitano mingine🤦🤪🏃
 
No. Husemi uongo. Tujifunze tu kuandaa bajeti & kuweka akiba. Otherwise tutakuja kushindwa mbeleni kufanya mipango muhimu ya maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…