Ukituma matokeo yaliyo printiwa badala ya 4m6 results slip unaweza kosa mkopo???

Ukituma matokeo yaliyo printiwa badala ya 4m6 results slip unaweza kosa mkopo???

Moyibi

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
1,054
Reaction score
701
hiv uki2ma matokeo yako ya 4m6 uliyo print kisha kugongwa muhuri na sahihi ya hakimu kwenye bodi ya mkopo badala ya 4m6 results ni sahihi au kitakua kigezo cha kukosa mkopo msaada tafadhali
 
Unapata,bnafc nlifanya hvo na nkalamba 80%.over
 
hiyo ni gamble,nd very few win. Kwan slip hamna,au iko mbali? Bora ugharamike uipate,gharama na mda utakao2mia kuipata hautalingana na matatizo na gharama utakazoingia kama utaukosa mkopo(esp kama familia yenu kiuchumi hamko poa) trust me
 
duuh sasa mbna presha ishapandaa..! Afu mbaya zaidi nishaipost iyo fomu.. result slip iko mbali aisee@goodboy
 
Unapata,bnafc nlifanya hvo na nkalamba 80%.over

daah umenipa moyo kidogo..afu nimeongea nao wanasema kwa waliomaliza diz year..sio lazma kivile bt bado na wasiwasi
 
Mimi nilifanya hivo na nikalamba 100%.
 
ahsante kaka..!! Support ya pili kwa sababu nilikua na wasiwasi mbaya c'unajua tena familia zetu hizi
 
duuh sasa mbna presha ishapandaa..! Afu mbaya zaidi nishaipost iyo fomu.. result slip iko mbali aisee@good guy

kama tayari bac hold ur breath,mayb huwez jua kila m2 na bahat zake. Bt kama imepitishwa mahakaman dats ol wats needed
 
kama tayari bac hold ur breath,mayb huwez jua kila m2 na bahat zake. Bt kama imepitishwa mahakaman dats ol wats needed

duuh ni balaa coz nimewasiliana nao wengne wanasema ni sawa wengne wanapingaa sasa cjui itakuaje??
Vp kwan unaweza tuma fomu mara mbili??
 
Back
Top Bottom