Ukitumia ARV'S unaweza kusukuma siku adi miaka mingapi?

wamkodowenye

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2016
Posts
261
Reaction score
291
Kuna ushauri na somo pia napenda kulijua na litanisaidia pia kufahamu hivi kiwango cha juu cha cd4 ni ngp? na je mtu akiwa na chini ya cd4 300 akianza dawa anaweza kusukuma kama miaka mingapi? na je ukiwa unatumia hizi arvs ni kweli huwa zina madhara? au zinasumbua unapoanza kutumia na inaweza kuchukua Muda gani zinaendana na wewe?
 
Kwanini wenye virusu huwa wanazeeka kwa muonekano wa usoni.
Kuna dating site ya wenye virusi, ukiwaona wala huwajui aisee, ngoja niitafute nitaiweka hapa. Huwezi kuwafahamu kabisa na sasa hivi tunaambiwa kuwa tujiandae kulea wazee wengi wanaoishi na UKIMWI kwani walioupata miaka 20 iliyopita wakiwa 50 sasa wako kwenye 70.
 
Ushaur wa kitaalam
1) idadi ya kawaida ya cd4 ni kuanzia around 600 had 1200micromil/l
2.swala la miaka na matumiz ya arvs linategemea na mambo mengi (in general ni ur lyfe style, kama unatumia arvs vizur, unakula chakula bora , unafanya zoez vizru, na unaepuka kufanya unaprotected sex, jnaoata muda wa kupumzika. .unaweza ishi maisha malefu tuu as a normal person
3) unapoanza ku2mia arvs hua kuna maudhi madogomadogo (side effects) ambazo most pple wanazipata for the 1st 2 weeks then wanakua poa, but kama zikiendelea unaweza badilishiwa dawa
ASANTE
 
hizi dawa ni kali sana unaweza kuachia njiani ukizianza
 
Na ndio maana ni lazima uhudhurie madara ya ushauri kabla ya kuanza dawa na utahudhuria clinic every month kuangalia hayo madhara pamoja na magonjwa nyemelezi. ...
 
Hadi miaka 70 unafika mdau...kama unataka kupiga mzigo wew kula tuu
 
Mkuu kwani ulinipima ukukuta niko ve+?
anti ukibishana na mjinga na ww unaweza kuonekana mjinga unajua malipo ni hapa hapa duniani ndiyo maana wanasema hakuna ajuae kesho ata mtunzi wa kalenda wengi wanadhani vvu hutokea kwa ngono but unaweza usifanye ngono ukaupata tuu mungu mwache aitwe mungu tuu tuwe na akiba ya maneno ulimi ni kiungo kidogo ila kinawwza msababishia mtu matatizo na kukufuru kwa mungu
 

Nani mjinga sasa? Hivi huoni mazungumzo hayo ni utani tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…