wamkodowenye
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 261
- 291
Kuna ushauri na somo pia napenda kulijua na litanisaidia pia kufahamu hivi kiwango cha juu cha cd4 ni ngp? na je mtu akiwa na chini ya cd4 300 akianza dawa anaweza kusukuma kama miaka mingapi? na je ukiwa unatumia hizi arvs ni kweli huwa zina madhara? au zinasumbua unapoanza kutumia na inaweza kuchukua Muda gani zinaendana na wewe?