Ukitumiwa SMS kama hii kutoka kwa mwanaume mwenzako utajisikiaje?

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,494
Reaction score
12,466
"Thanks bro 4 ya charity,Katika wanaume wote hapa kitaa we ndo wa ukweli nakukubali sana sema tu kwa vile hujanielewa ningekua mdada ninge hakikisha hautoki mikononi mwangu". jamani nisaidieni kutafsiri hayo maneno huyu mtu ana maana gani? sio shoga kweli? au basha?
 
Ngoja wajuvi wanakuja kukupatia majibu mujarabu, mi mgeni mji huu.
 
Kiukweli wewe ndie umjuae zaidi!
Ktk mazingira ya kawaida me mwenzio hawezi kukutumia sms kama hiyo!!
Labda tu, uwe muwazi! Ulimpa msaada gani mwenzio?
 

mkaushie haloafu endelea kutupa updates, nadhani hatua yake itakayofata ndio ya kuanza kureact
 
Mlianzaje mpaka mkagikia hapa?
 
Punga hilo..!! Anakujaribu aone respond yako! Subiri msg zinazofuata utaelewa tu.
 
bwabwa,*****,punga, shoga sooo uxijaribu mpe worning!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…